Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

Mkuu nikumbushe ni mwaka gani dola ilishuka,,
Hau niambie unaona kuna viashiria vyovyote vya kushuka kwa dola labda siku zijazo,,,?
Je, ukinunua $$ kwa Tsh 2,200 then Madafu ikapanda thamani, ikawa 1 $$ kwa Tsh 2,150 hujala hasara mpaka hapo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utajuaje sasa dhahabu hii yenyewe..nsje jikuta badala ya kuweka akiba dhahabu najikuta nanunua JIWE nahfadhi ndani siku naenda Uza wanambie Hatununui haya mawe...NIZIMIE kwa kifafa
Unaenda wauzia hata wajenzi hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkiwa na kikundi cha watu makini (serious) vicoba ni njia rahisi ya saving na mwisho wa mwaka mnagawana faida. Pia utapata mkopo kwa Riba nafuu ya kuongeza mtaji. Kwanza inakupa umakini wa matumizi ya Pesa maana lazima uwe na pesa kila wiki ya kununua hisa
 
Vicoba ni mkombozi kwa kweli. Kama mtu unaweza kupata faida ya 1.5M kwa mwaka si Bora kusave hela huko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni lazima uwekeze ili upate mtaji.huwezi kuanza chochote bila mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnazungumzia kopo la aina gani? Hizi body spray? Sa mie nikiishiwa si nakabondabonda nachukua hela
 

Hii ya kibubu nami nimeamua kuijaribu. coins zote zitaishia huko na nimeweka ahadi never to touch that kibubu hadi baada ya miezi sita😳
 
Mimi naweka malengo account ya NBC Kila mwezi nakatwa direct kutoka kwenye mshahara kwa mwaka mzima imenisaidia sana.njia ya vibubu ilinishinda nilikua navunja kabla sijafikisha malengo.
Mshahara unapitia NBC hapo hapo ?
 
Hapa, ndipo uhai ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…