Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

Mkuu nikumbushe ni mwaka gani dola ilishuka,,
Hau niambie unaona kuna viashiria vyovyote vya kushuka kwa dola labda siku zijazo,,,?
Je, ukinunua $$ kwa Tsh 2,200 then Madafu ikapanda thamani, ikawa 1 $$ kwa Tsh 2,150 hujala hasara mpaka hapo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utajuaje sasa dhahabu hii yenyewe..nsje jikuta badala ya kuweka akiba dhahabu najikuta nanunua JIWE nahfadhi ndani siku naenda Uza wanambie Hatununui haya mawe...NIZIMIE kwa kifafa
Unaenda wauzia hata wajenzi hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkiwa na kikundi cha watu makini (serious) vicoba ni njia rahisi ya saving na mwisho wa mwaka mnagawana faida. Pia utapata mkopo kwa Riba nafuu ya kuongeza mtaji. Kwanza inakupa umakini wa matumizi ya Pesa maana lazima uwe na pesa kila wiki ya kununua hisa
 
Mkiwa na kikundi cha watu makini (serious) vicoba ni njia rahisi ya saving na mwisho wa mwaka mnagawana faida. Pia utapata mkopo kwa Riba nafuu ya kuongeza mtaji. Kwanza inakupa umakini wa matumizi ya Pesa maana lazima uwe na pesa kila wiki ya kununua hisa
Vicoba ni mkombozi kwa kweli. Kama mtu unaweza kupata faida ya 1.5M kwa mwaka si Bora kusave hela huko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu salama,

nimesoma bandiko lako na nimeelewa kama ifuatavyo;

Kwanza wewe ni lazima muajiliwa so unajaribu kushauri wengine pia katika level uliopo.

Pili nataka nikuchalleges kama unafanya saving ili ununue gari au nyumba unakua sahihi lakini you will never be reach(hauwezi toboa kwa kusave).

Njia sahihi ya kujikomboa kumaisha, kwanza futa hizo mentality za kusave and instead anza kufikilia kubuld businesses(you can start small) kwa hyo hyo pesa unayosave(remember savers are loosers).

Jaribu kufatilia watu wote matajiri wanaokuzunguka kwa haraka uliza au jiulize wametoboa kwa kusave au kwa kufanya biashara...Ukipata majibu utaungana na mimi 100%.

I wish you best of luck hope nimeeleweka!

[HASHTAG]#stoppoormentally[/HASHTAG]!!!
Mkuu ni lazima uwekeze ili upate mtaji.huwezi kuanza chochote bila mtaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise! toka niliposoma comment hii nilianza kuifanyia kazi njia hii kwa kweli ipo poa nimetoboa katobo kadogo kanakoweza kupitisha sarafu japo huko ndani kuna mchanganyiko wa note na sarafu. tofauti na kibubu njia hii huwezi vunja kopo kirahisi shukrani sana.
Hivi mnazungumzia kopo la aina gani? Hizi body spray? Sa mie nikiishiwa si nakabondabonda nachukua hela
 
Aise! toka niliposoma comment hii nilianza kuifanyia kazi njia hii kwa kweli ipo poa nimetoboa katobo kadogo kanakoweza kupitisha sarafu japo huko ndani kuna mchanganyiko wa note na sarafu. tofauti na kibubu njia hii huwezi vunja kopo kirahisi shukrani sana.

Hii ya kibubu nami nimeamua kuijaribu. coins zote zitaishia huko na nimeweka ahadi never to touch that kibubu hadi baada ya miezi sita😳
 
Mimi naweka malengo account ya NBC Kila mwezi nakatwa direct kutoka kwenye mshahara kwa mwaka mzima imenisaidia sana.njia ya vibubu ilinishinda nilikua navunja kabla sijafikisha malengo.
Mshahara unapitia NBC hapo hapo ?
 
Nimekuelewa mkuuu..

but wafanyabiashara wakubwa(smart) wanareinvest, hela anayopata faida anaongeza mtaji endelea kukuza biashara sio kuweka bank, sababu kuweka pesa bank nikama umewapa pesa yako wafanyie biashara(wanakopesha), bank its only temporary kwa ajiri ya kufanyia legal transactions unless huyo ni mfanyabiashara mkubwa sana business inmekua kuwa kubwa so bisness imefika at peak..(anatafuta somewhere pa kuinvest)

kwa wafanyabiashara wadogo(smart) nao sikuhizi hawaweki pesa bank wala kusave home, wana vikundi vyao vinaitwa vikoba, hapa anaweka pesa yake pia nae anaweza kuchukua kwa riba ndogo in return wana gawana faida so. thats why nikasema servers are losers.. hi perfect way yakukuza biashara kwa haraka kwa wafanyabiashara wadogo

hivi ndo dunia inataka sio kuweka pesa bank..

zaid kumbuka ukiwaka pesa kwa mwaka kama ni milion moja, ni lazima itapungua thaman sababu ya mfumuko wa bei so kwa namna moja au nyingine unapoteza..

hope tuko sawa...
Hapa, ndipo uhai ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom