Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Bank gani ?Mimi napata 250,000 kwa mwezi. Mwanzoni nilikuwa natumia kwanza afu ikibak ndo nasave unakuta mda mwngne hamna hela ya maana uliyosave. Nikabadilisha njia. Nikawa nikipata tu hela naweka 100,000 kamili bank alaf hyo 150 inayobak ndo nafanya matumizi. Namshukuru MUNGU na kipato changu kidg nimekaa mwaka na zaidi sasa nina akiba ya 1.2m
Hyo ndo njia ninayoitumia na sitoiacha. Naombea niongeze kipato ili kuongeza akiba yangu.
Hawakati kati kila mwezi charges zisizoeleweka ?