Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hiyo mbona ni SACCOS aka VICOBATumeanzisha mfumo wa SILC( Saving and Internal Lending Community) ofisini..naweza kuweka hadi 250,000 kwa mwezi.. Pia mwanachama anaweza kupata mkopo na kurudisha kwa riba ambayo ni 5-10% kulingana na kiasi anachochukua na muda..Uzuri ni kwamba wote ni wafanyakazi hapa na ukishasave hela yako huna mwisho wa mwaka tunafanya share out, unapata hela yako yote uliyosave na ile riba iliyopatikana inagawanywa..Ingekuwa kibubu maana yake ile unayoweka ni hiyo hiyo haiongezeki