Share namna/sounds ulizotumia kumnasa mpenzi wako wa sasa

Nilianza mazoeanae akawa hataki, siku nikapita kazini kwake nikwamwambia hata km unanichukia lkn ujue tu nakupenda wala sitakusumbua tena, baada ya wiki 2 boss wake akaniomba nikamsaidie kupika (alkua na ubatizo wa mtoto) nilipika chakula kitamu sikujua hata nilipikaje na wala sikuwahi kupika chakula km kile, hadi leo anasumbua nipike km kile nabaki nacheka tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu lilihitaji kujibiwa ndio au haoana. Baaas!

Haya maswali wala sikuyahitaji.

Furahia maisha yako na mkeo kijana.
 
Uliwahi kumuuliza alivyokukubalia kirahisi namna hiyo ndani ya wiki mbili tu... ni wangapi aliowakubalia kirahisi hivyo miaka mitano iliyopita?

#Justasking#
Babu ina maana hata bibi ulimuuliza swali kama hili? Maisha yetu wajukuu zako yapo very complicated kwanini unataka tuya complicatishe zaidi?
 
Nilimwambia SIKUHITAJI KAMA DEMU NAKUHITAJI KAMA MWANAMKE, demu wangu Mpaka leo anadai hakuna verse kwa mwanaume amewahi kuielewa kama hiyo
 
Hakutaka hata ukaribu na Mimi Ila aliona wenzake wananielewa afu akinicheki Niko kawaida Sana .kumbe alikuwa hajaelewa mambo yangu

Baadaye kuzipata habari kwamba mwamba ni somebody somewhere mwenyewe akajilengesha kiulani na mpaka Leo tuko pamoja

Wala sikutumia sound Bali kupitia wenzake akaona nastahili kutunukiwa mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli njia nyepesi ya kumpata mwanamke is just showing the power to feed her. Ha ha ha i belive.

Na huyo ni mmoja tu. Kuna mimba nyingi ziliingia kwa gia ya chips kuku tu na watu wakaolewa na wanalea. Nawasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…