Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Kwanini?hiyo mbinu utapata wengi
teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?hiyo mbinu utapata wengi
teh teh
chezea ndoto za kuhama nyumba za kupanga wewe? hata mimi nahisi akija kwa style hiyo sichomoiKwanini?
Hahahahaaa unaweza kuta anaekupiga hiyo fix hata chumba cha kupanga hana anaishi gheto kwa rafiki yake......TUWE MAKINI dearchezea ndoto za kuhama nyumba za kupanga wewe? hata mimi nahisi akija kwa style hiyo sichomoi
teh teh
ndo maana tunapenda kudanganywa kidogoHahahahaaa unaweza kuta anaekupiga hiyo fix hata chumba cha kupanga hana anaishi gheto kwa rafiki yake......TUWE MAKINI dear
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenishinda tabiando maana tunapenda kudanganywa kidogo
teh teh, si mtu anakuambia bby ujue hata hela ya soda sina...steam inakata
teh teh
hahahhahhahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenishinda tabia
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajikuta unampa vyote tena kwa ufundi kabisa ili kumhamasisha kumalizia malipo kumbe..... Ila hawa watu wanafix hatari!hahahhahhahaha
mbavu zangu jaman...ndo hivyo wakati mwingine ametumwa benki anapitia kwangu na kusema ndo naenda kulipa ile advance ya kiwanja..hata kuomba hela za nywele unampumzisha kwa muda kumbe fix tupu
na waendelee tu ili tuendelee kufurahi...hebu piga picha hiyo furaha unayopata kuambiwa naenda kulipia kiwanja..hakika nakwambia hata mtu akikupiga kofi huwezi sikia[emoji23][emoji23][emoji23]Unajikuta unampa vyote tena kwa ufundi kabisa ili kumhamasisha kumalizia malipo kumbe..... Ila hawa watu wanafix hatari!
h
Maana anakufanya mjingaKwanza mtu akianza kuongea hivyo unaondoka hamna sababu ya kumsikiliza
[emoji252] [emoji479]
Kuna uongo na uongo sio kama huo wa kufanyana watoto.MWANAMKE BILA UONGO HUMLI HATA UKIHONGA MILIONI...hata Nyoka alitumia Uongo pale Eden NA BADO AKACHUNWA TUNDA LA MTI Hawa akala, ila uongo ulitangulia kwanza...sasa ww una akili kuliko Nyoka? shwain
Huyu mwanaume wa Daslam naona amewakilisha vyema kabisa wanaume wenzake wa huko....tehteehhh
hahahhahahaha
Uongo ninao uzungumzia mm ni wa k.v. kumwambia unampenda sana na yuko peke yake kumbe una wake 2, watoto 6 na majukumu kibao...ukila mzigo tu unasepa. HUO NDO UONGO NILIYOMAANISHA.
Uongo huo sawa ila wa kukutana mwendo kasi uniambie nitafutw kiwanja kkoo si kufanyana mazwazwa hukoUongo ninao uzungumzia mm ni wa k.v. kumwambia unampenda sana na yuko peke yake kumbe una wake 2, watoto 6 na majukumu kibao...ukila mzigo tu unasepa. HUO NDO UONGO NILIYOMAANISHA.
Ha ha ha haWoyoooooooooo
Ni sounds / namna au mbinu gani ulitumia kumnasa mpenzi wako wa sasa? Na ilichukua muda gani hadi aingie line?
Binafsi nilikutana nae akiwa katoka shopping, nikamsaidia mizigo na ku exchange number.
Sikumpiga sound bali tulichati for two weeks ivi nikamwomba nimtoe dinner. She accepted na nikamfata na gari hadi kwao tabata. Nikamchukua na kwenda eneo flani amazing kule mbezi beach. Alikula na kunywa alichokipenda. Wakati namrudisha kwao nilisimamisha gari umbali km wa dk 5 hivi na kwao and tried to kiss her. Hakukataa.... I kissed her for about one minute then nikamdrop home.
From that day akawa wangu hadi sasa ni mke wangu wa ndoa.
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unanivunja mbavu ujue!na waendelee tu ili tuendelee kufurahi...hebu piga picha hiyo furaha unayopata kuambiwa naenda kulipia kiwanja..hakika nakwambia hata mtu akikupiga kofi huwezi sikia
teh teh
Na kiuno siku hiyo unashangaa mbona kimekuwa kilaini?