Share namna/sounds ulizotumia kumnasa mpenzi wako wa sasa

Share namna/sounds ulizotumia kumnasa mpenzi wako wa sasa

Tusaidie n sisi tuweze kupata w akwenye mwendokasi
mkuu panda mwendo kasi alafu wahi siti. ukiona mrembo mzuri uliyemwelewa kasimama, mwite mpe siti, then kituo atachoshuka,shuka nae umwombe namba ukamtie sound
 
Mkuu ulimpata kwasababu ilikua na gari.....vuta picha kama ungekua huna gari
 
Nilimwambia SIKUHITAJI KAMA DEMU NAKUHITAJI KAMA MWANAMKE, demu wangu Mpaka leo anadai hakuna verse kwa mwanaume amewahi kuielewa kama hiyo
Haaaaaaaaa mkuu, tofauti ya demu na mwanamke ni nin?
 
Woyoooooooooo

Ni sounds / namna au mbinu gani ulitumia kumnasa mpenzi wako wa sasa? Na ilichukua muda gani hadi aingie line?

Binafsi nilikutana nae akiwa katoka shopping, nikamsaidia mizigo na ku exchange number.

Sikumpiga sound bali tulichati for two weeks ivi nikamwomba nimtoe dinner. She accepted na nikamfata na gari hadi kwao tabata. Nikamchukua na kwenda eneo flani amazing kule mbezi beach. Alikula na kunywa alichokipenda. Wakati namrudisha kwao nilisimamisha gari umbali km wa dk 5 hivi na kwao and tried to kiss her. Hakukataa.... I kissed her for about one minute then nikamdrop home.

From that day akawa wangu hadi sasa ni mke wangu wa ndoa.

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukuru mungu gari lilikupa mke
 
Back
Top Bottom