PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza mtu akianza kuongea hivyo unaondoka hamna sababu ya kumsikiliza
[emoji252] [emoji479]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza mtu akianza kuongea hivyo unaondoka hamna sababu ya kumsikiliza
[emoji252] [emoji479]
Duuuh ila mbona hujatupa onyomkuu panda mwendo kasi alafu wahi siti. ukiona mrembo mzuri uliyemwelewa kasimama, mwite mpe siti, then kituo atachoshuka,shuka nae umwombe namba ukamtie sound
Zimefanyaje mkuumpesa tigopesa airtelmoney halopesa Tpesa.
Haaaaa kuna jamaa mwongo hatarii anadanganya hadi kwa padre wakati wa kitubioHahahaa si Kudanganya tu Mkuu, Hawa usipowadanganya huambulii kitu!
Jamaa gani huyoHaaaaa kuna jamaa mwongo hatarii anadanganya hadi kwa padre wakati wa kitubio
Na hela ndo usalama waoWANAWAKE WANAHITAJI HELA NA USALAMA...basi.
Huo ulikua mwanzo tu, eventually alikubali.Akakubali siyo
Ni rafiki yangu huku chimboni.comJamaa gani huyo
Ahahaha mwambie aache uhuni, kwa padre asidanganyeNi rafiki yangu huku chimboni.com
Mi nlianza kulike posts zake, halaf nikaenda PM nkamwandikia "I like your attitude"
Labda ni wewe ujueNakumbuka kama nilishawahi pata Ujumbe wenye hilo neno, acha nichungulie PM....
TPL sio VPLMimi nilimkaribisha geto kwangu alipo kuja na kuona Sound system niliyo nunua na li flat limetulia ukutani pale, sikuhangaika sana kumchojoa bikini yake nikajitwalia points tatu za muhimu kama Simba SC kupitia Kagere wanavyo fanya sasa hivi kwenye VPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wa mpenzi wako kukukubalia si kigezo cha mtu mvumilivu, upendo ni bahati tu na ile first impression anayokufeelMkuu, kwanini nimuulize?
Kwani kuna range ya muda specific uliopangwa kwa mwanamke kumkubalia mwanamume? If yes, ni muda kiasi gani?
Je ni vibaya mwanamke kumkubalia mwanamume kirahisi?
Je inatakiwa mwanamke asimkubalie mwanamume kirahisi?? Why?
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkubali!Kama mwanamume ame ku approach na ukawa umevutiwa nae, huwez mkubalia hata ndani ya siku moja miss van?
Sent using Jamii Forums mobile app