Share namna/sounds ulizotumia kumnasa mpenzi wako wa sasa

TPL sio VPL
 
Muda wa mpenzi wako kukukubalia si kigezo cha mtu mvumilivu, upendo ni bahati tu na ile first impression anayokufeel
 
Mm nilijitolea kumsomesha wakat wa ziada basi akawa kila weekend anakuja shule flani nampigia pindi tangia yupo form four

Basi akaenda mtoto akatokea kuchanganyikiwa nikaanza kujilia dodo pole pole hadi sasa ni mke wangu wa ndoa
 
Mimi bado sijatongoza, nkitongoza tu.... Nakuletea majibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…