Share short sad story iliyowahi kuutokea au uliyoshuhudia kwa rafiki, jirani au ndugu

Dahh, so sadπŸ₯²
Dah, so sad πŸ₯²
 
😒😒😒😒
 
Hebu nifafanulie mkuu, maana tulipima ukimwi,tukawa hatuna wote,shida Nini?Nimebaki na maswali kichwani hadi Sasa Toka 2001.
Makango ni vijinyama vinavyoota aidha kinywani (chini ya ulimi) au uchini (nyuma) tangu kuzaliwa,

Mtoto akiwa mdogo havionekani, ila kadri anavyokua navyo vinajionesha.

Ko unaenda kwa mtaalamu unavikata, NB! hivyo vya nyuma sio Bawasiri wala HPV.
 
Kiharusi ugonjwa wa hatari sana ila siku hizi pale moi muhimbili Kuna mashine kama mgonjwa kapooza akiingizwa ndani ya mashine Anatoka mzima ile mashine kazi yake ni kuangalia mshipa unaoziba damu isitembee na kuutibu huo mshipa

Cc Taasisi ya Mifupa-MOI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…