Watu poa sana na uenda ukiwafanyia kazi zao vizuri anaweza akakulipa hata mara 2 ila ukiharibu kazi zao utaona sura ya simba kumkosa kosa swala
By the way
Kuna Tajiri aliniachia gari lake na funguo pia ndani ya gari kukiwa na million 700 na akanambia kabsa kwenye gari kuna million 700 na akanambia kama kweli mjanja kimbia nazo alirudi baada ya masaa kama matatu na kunambia anajua kabsa kuwa siwezi kukimbia nazo kwani mm ni mwaminifu sana, hata ningezichukua na kikimbia nazo ningejificha wapi? Maana kwenye nchi hii kwa sasa ni mtu wa pili Kwa wadhifa yaani angenipata tu yaani by the way mpaka sasa ananipigia sim akitaka nimfanyie kazi zake - ALHAMDULLILLAH