Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Af ndugu wa karibu 🤗Mm na yeye ni marafik sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Af ndugu wa karibu 🤗Mm na yeye ni marafik sanaa
Sawa mwalimu wa lugha .... Tunyooshee icho kizungu kibovu.....🤣🤣🤣🤣🤣🤓🤓🤓
Ninafanya kazi na Salim.
Honestly, ni mtu kwenye roho ya kipekee mno.
Kwanini?Huu Uzi mode wata upiga ban muda si mrefu....
Naogopa kibarua kisije ota nyasiii boss Mwachiluwi😂😂😂 nabadilika vipi sasa
Ni P. Plan huyo!!!Watu poa sana na uenda ukiwafanyia kazi zao vizuri anaweza akakulipa hata mara 2 ila ukiharibu kazi zao utaona sura ya simba kumkosa kosa swala
By the way
Kuna Tajiri aliniachia gari lake na funguo pia ndani ya gari kukiwa na million 700 na akanambia kabsa kwenye gari kuna million 700 na akanambia kama kweli mjanja kimbia nazo alirudi baada ya masaa kama matatu na kunambia anajua kabsa kuwa siwezi kukimbia nazo kwani mm ni mwaminifu sana, hata ningezichukua na kikimbia nazo ningejificha wapi? Maana kwenye nchi hii kwa sasa ni mtu wa pili Kwa wadhifa yaani angenipata tu yaani by the way mpaka sasa ananipigia sim akitaka nimfanyie kazi zake - ALHAMDULLILLAH