Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Unajua hata maana ya national security au hiyo economic security??? Haya maneno mnayajua au mnakaririshwa tu???

wapi duniani foreign bank imewai kuhatarisha national security au economic security??? Hivi una akili vizuri wewe???

Benki kubwa zikivuruga vitabu zinaua uchumi. Mporomoko wa uchumi wa dunia wa 2008 ulisababishwa na mabenki makubwa ya USA. Ikapitishwa sheria ya Dodd-Franks kuyadhibiti. Inakuwa vigumu zaidi kuwadhibiti au kuwaamini kama ni wageni.

National security is another cause for grave concerns. We dont know to whom, from where and for what purpose money may be funneled or funded from.

State house transanctions, defense spending and security organs banking can not be commandeered by foreign owners of a bank. The risk is just not worthwhile.

NMB, read NBC, ownership has finally riverted back to the people. The last vestiges of Benjamin Mkapa's egregious privatisation legacy are, at long last, buried with him. John Magufuli has laid claim to the mantle of Julius Nyerere's independence struggle.
 
Ok kwahiyo kumbe Rabo Bank imenunuliwa na Arise.

Sasa taharuki yote hii aliyoleta mleta mada maana yake nini
 

Remember Julius Nyerere’s independence struggle failed. F#ck you & your exaggerated patriotism!
 
Doohhhh! Tokea September 28, 2016, leta habari ya karibuni
 
Uchumi wa JIWE at the very high speed.
 
Inawezekana kweli nimekariri kama ulivyosema, lakini ni lini na wapi serikali imewahi kujiingiza kwenye biashara ikafanikiwa? kuna mifano mingi tu serikali ilipojaribu kuingia ilianguakia pua

Mfano korosho, serikali iliingia kichwakichwa kutaka kupata umaarufu wa kisiasa matokeo yake mpaka leo kuna wakulima hawajalipwa hela ya korosho na mbaya zaidi TISS haitumiki ipasavyo kufanya ujajususi wa kiuchumi ipo busy kuwasaka wapinzani.

Lakini kama serikali atakuwa regulator atakuwa amejipunguzia mzigo wa kupambana na changamoto za kibiashara, kazi yake kubwa itakuwa ni kuhakikisha kila upande unanufaika.
 
Natafiti bado nijue zimeenda kwa nani..

Nadhani kuna muelekeo wa investors wengi wa nje kuondoka kwenye banking sector; hao Rabo Bank na wengine walikuwa wamewekeza pia Akiba Commercial bank nako wameuza stake yao!! The bank of Tanzania should be concerned about the outflow of forex due to the exit of these foreign investors at this crucial time. Remember foreign investors are allergic to both political/economic uncertainty!!!

Wenzetu Wanaona mbali!!!
 
Remember Julius Nyerere’s independence struggle failed. F#ck you & your exaggerated patriotism!
Tulipingwa na dunia, tukawekewa vikwazo.

Lakini kila benki, kila kampuni, kila biashara tuliziendesha wenyewe wakati wa Mwalimu. Biashara ambayo ilitushinda hatukuita wageni, tuliifungilia mbali kuliko kuliwa, kama vile kuchimba katikati dunia kutafuta dhahabu.

We were a living embodiment of business independence.

NMB foreign owners exiting the country is welcome news of addition by subtraction. WE, THE PEOPLE, will fill the void.

There is no foreign bank in the country, be it Barclays, EXIM, Citibank, KBC, STANBIC, BOA, FNB, DTB,FBME, Bank of India, Bank of wherever on earth they are from, none of them has grown bigger and better than the ones we built and are running them ourselves, including NMB and the whooping behemoth that is BENKI YA USHIRIKA NA MAENDELEO VIJIJINI. So, of course, we can. We've been there and we've been here. Julius Nyerere is back, bigger and better than ever.

You are a banana republic if you need a foreigner to run a bank for you.
 
Mimi mwenyewe sina imani na serikali kama mmiliki wa kitu chochote..

Serikali haijui kutunza na kutumia fedha na na ndio maana kila leo wanatoza na kuongeza kodi!! Serikali sio kazi yake kufanya biashara ya aina yeyote ile kwasababu hawana utaalam wa kibiashara!!! Any business venture that is undertaken by the government is bound to fail!!!
 
Pamoja na kuwa umejitetea kuwa mjumbe auwawi ingebidi upigwe ata makofi kadhaa ili uamke usingizini.

Fact: Ni bora hisa zimilikiwe na watanzania ata kama ni serekali yenyewe sbb faida ya benki miaka nenda miaka rudi inayo tolewa kwa wana hisa na kupelekwa nchi za nje itakuwa inabaki hapa hapa. Kusema kuwa benki inaweza kuendeshwa vibaya sio kweli. Wakurugenzi wa mashirika sasa hivi wamenyooka kama kamba kwa sababu zinazoeleweka.
 
Labda serikali wanataka kumiliki kwa 100%.... Kama ilivyokuwa NBC zamani kabla haijapigwa bei kwenda ABSA Group.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…