Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in NMB Bank Plc​

NMB Bank’s largest shareholder, Rabobank of the Netherlands, has partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State owned development fund (Norfund) to form a Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise .

The partnership was officially launched in Cape Town, South Africa in February 2017.
The ambition of the partnership is to build strong, locally owned financial institutions that serve small and medium enterprises (SMEs), the rural sector, and clients who have not previously had access to financial services.

Rabobank, FMO and Norfund have each in their individual capacities been successful in the development of the financial sector in Africa. Through Arise, the partners aim to continue to adequately support the growth and advancement of financial institutions by proactively providing among other things, technical assistance and management services in the fields of governance, management, marketing, innovation, compliance and risk management.

To achieve their goal, members of the partnership agreed to pool together their networks, expertise and assets, including the stakes they individually held in several financial institutions in Sub-Saharan Africa (SSA). For Rabobank, this represents its shareholding in a number of financial institutions in SSA including NMB Bank Plc (NMB).

The transfer of Rabobank’s shares in NMB to Arise is subject to regulatory approvals both at shareholder level as well as at the various national levels. Rabobank has lodged its share transfer request at the Ministry of Finance (MOF), the Bank of Tanzania (BOT) and the Capital Markets and Securities Authority (CMSA).

NMB will provide an update of the proceedings upon the receipt of responses from the regulatory bodies.

For enquiries contact:

Joseline Kamuhanda,
Senior Manager Corporate Affairs and Public Relations
Email: Joseline.kamuhanda@nmbtz.com

Anna Mwasha,
Strategy & Investor Relations Manager
 
Uswalinganishe Rais Mstaafu Mwinyi na Kikwette na vitu vya hivyo hovyo!! Wale walikuwa wanapenda kila Mtanzania wawe na maisha mazuri, walikuwa hawaui wananchi wao na walikuwa hawawafilisi matajiri
Kiini cha tatizo ni kwamba hamridhiki! hata mpewe nini , cha msingi ni kula kichapo tu mpaka kieleweke, ikishindikana ni kata funua waafrica bado ni wanyama sana, ndivo inavyotakiwa kuwafanya!! muombe sana mimi nisipate madaraka!

na ndivo ilivo tumesha wajulia mwinyi mlimuita ''! kawekwa mfukoni, Mzee Rhuksa'' unajua manake?.... huyu wa sasa mna mwita Dikteta - safi kabisa!
Kikwete mlimwita Dhaifu, hana maamuzi!!

MWalimu jkn - kitama kwigwa!! mchonga, haambiliki, na mengine meengi!! amewapa siasa ya ujamaa na kujitegemea mmempinga sasa mko wapi?

Mkapa - mzee wakujisikia, Jeuri, kibri, mara alimuua Nyerere! nyie muombe mungu wenu mkae na hao hao wanao wabembeleza kama huyu mzee wa chato!! ningekuwa mimi walahi maji mngeita ''mmma!!!
 
Kiini cha tatizo ni kwamba hamridhiki! hata mpewe nini , cha msingi ni kula kichapo tu mpaka kieleweke, ikishindikana ni kata funua waafrica bado ni wanyama sana, ndivo inavyotakiwa kuwafanya!! muombe sana mimi nisipate madaraka!

na ndivo ilivo tumesha wajulia mwinyi mlimuita ''! kawekwa mfukoni, Mzee Rhuksa'' unajua manake?.... huyu wa sasa mna mwita Dikteta - safi kabisa!
Kikwete mlimwita Dhaifu, hana maamuzi!!

MWalimu jkn - kitama kwigwa!! mchonga, haambiliki, na mengine meengi!! amewapa siasa ya ujamaa na kujitegemea mmempinga sasa mko wapi?

Mkapa - mzee wakujisikia, Jeuri, kibri, mara alimuua Nyerere! nyie muombe mungu wenu mkae na hao hao wanao wabembeleza kama huyu mzee wa chato!! ningekuwa mimi walahi maji mngeita ''mmma!!!
Kumbe najibizana na mtu asiyejitambua
 
Cape Town

Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise.

Arise Portfolio​

Arise today has direct or indirect ownership in 18 top-3 financial institutions in SSA and presence in 38 countries in SSA.

  • CalBank 28% stake
  • Moza 30% stake
  • bpr 15% stake
  • Ecobank 14% stake
  • Zanaco 45% stake
  • Equity Bank 12% stake
  • Socremo 35% stake
  • NMB Tanzania 35% stake
  • DFCU Bank 59% stake
  • NMB Zimbabwe 18% stake

Arise - Empowering African Banks - Norfund
CalBank 28% stake · Moza 30% stake · bpr 15% stake · Ecobank 14% stake · Zanaco 45% stake · Equity Bank 12% stake · Socremo 35% stake · NMB Tanzania 35

More info :

The listing of the bank’s stock on the Dar es Salaam Stock Exchange has led to a diversified ownership structure, leaving the Rabobank Group with 35%. Arise BV, a joint venture between Rabobank, Norfund and FMO has replaced Rabobank Group as the new owner (economic ownership), however the legal ownership is still subject to approval by the regulatory authorities. Source : Project detail - NATIONAL MICROFINANCE BANK PLC - FMO
 
Serikali inaweza kuwa inataka kuzirejesha benki zake, NMB+NBC, makaburu bado wanaweza kufungua benki yao na kujenga mtando kadri wanavyotaka, siyo kujimwambafy kwenye benki ambayo ilikuwa imeshaanzishwa na serikali.

Kaburu gani atathubutu kuja kufungua bank yake mahali ambapo inaweza kutoka amri ya kupora pesa za watu bila kupitia njia ya mahakama? Rejea sakata la fedha kwenye maduka ya Bureau de change kuporwa.
 
Kaburu gani atathubutu kuja kufungua bank yake mahali ambapo inaweza kutoka amri ya kupora pesa za watu bila kupitia njia ya mahakama? Rejea sakata la fedha kwenye maduka ya Bureau de change kuporwa.
weka akiba ya maneno mkuu.

siasa isikupe upofu.
 
Kwa Ubabe wa Kipuuzi wa TRA pamoja na Siasa za Kukomoana Kiuwekezaji na Kibiashara hasa kwa Awamu hii sishangai kabisa Jamaa Kuondoka.
Acheni utoto , kodi kama corporate tax haijaongezeka , ni ile ile ya wakati wa Awamu ya Nne, kilicho badili nini usimamimizi wa ukusanyaji kodi.
Na kama Bank kila transaction ikiwemo Mapato yanayopatikana na matumizi yapo kwenye mfumo, hakuna unreported income or kama wale wauza vifaa vya ujenzi.
Ukwepaji waweza kutokea kupitia Management Fees
 
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)

Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.

Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.

Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.

View attachment 1662012
View attachment 1662013

Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.

Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.

Mjumbe hauawi
N. Mushi
Hii ni hulka ya "saccos" kwamba akitawala mtu mwingine nchi haiwezi kufanikiwa, ila akitawala mwana "saccos" ndio nchi itaenda vizuri
 
Nakataa kata kata. Wala hakuna hata mlinganisho wa namna yoyote kati yao.
Hakuna mlinganisho, ni kweli. Ujio wa pili wa Mwalimu umefanya makubwa zaidi.

Umejenga mji mpya wa pili nchini, Dodoma, ndani ya miezi sita wakati mara ya kwanza haikuwezekana kwa miaka 24. Tumeacha kutegemea mji mmoja na kujazana Dar es Salaam nchi ya watu mil 60.

Ujio wa pili umejenga hospitali za wilaya 29, wengine wote miaka 55 ya uhuru jumla wamejenga 77.

Ujio wa kwanza wa Malimu haukujenga barabara hata moja bila hisani. Mwalimu aliporudi mara ya pili kama Waziri wa Ujenzi ndio akamwambia Mkapa ndani ya cabinet kwamba ni lazima tuanze kujenga barabara zetu wenyewe. Barabara ya Dar - Mwanza wahisani walisema hakuna traffic volume ya ku justify kutandika lami. Tumeimalizia 2008, 2009 kwa hela zetu. Kwa hiyo ujio wa pili wa Mwalimu umejenga barabara nyingi miaka 15 kuliko miaka 24 ya ujio wa kwanza, 10 ya Mwinyi na 10 ya Mkapa.

Umeme, shule, madini, meli, kote huko habari ni hiyo hiyo, yamefanywa ndani ya miaka mitano mara kumi ya yaliyofanywa miaka 50 ya uhuru.

Marko 7:1
“Baada yangu anakuja mwenye uwezo kunizidi, ambaye sistahili hata kuinama na kulegeza kamba za viatu vyake."
 
Mkuu, nona umeandika speculation tu,

Njoo na taarifa kamili,

Kwanini tujadili hearsay tu??
 
Hakuna mlinganisho, ni kweli. Ujio wa pili wa Mwalimu umefanya makubwa zaidi.

Umehamisha makao makuu ndani ya miezi sita wakati mara ya kwanza haikuwezekana kwa miaka 24. Tumeacha kutegemea mji mmoja tu wa Dar es Salaam nchi ya watu mil 60.

Ujio wa pili umejenga hospitali za wilaya nyingi ndani ya miaka mitano kuliko zilizojengwa miaka 24 jumlisha 10 ya Mwinyi jumlisha 10 ya Mkapa jumisha 10 ya Kikwete.

Ujio wa kwanza wa Malimu haukujenga barabara hata moja kwa hela bila hisani. Mwalimu aliporudi mara ya pili kama Waziri wa Ujenzi ndio akamwambia Mkapa ndani ya cabinet kwamba ni lazima tuanze kijenga barabara zetu. Barabara ya Dar - Mwanza wahisani walisema hakuna traffic volume ya ku justify kutandila lami. Tumeimalizia 2008, 2009 kwa hela zetu.
Kwa hiyo ujio wa pili wa Mwalimu umejenga barabara nyingi miaka 15 kuliko miaka 24 ya ujio wa kwanza, 10 ya Mwinyi na 10 ya Mkapa.

Umeme, shule, madini, meli, kote huko habari ni hiyo hiyo, yamefanywa ndani ya miaka mitano mara kumi ya yaliyofanywa miaka 50 ya uhuru.

Marko 7:1
“Baada yangu anakuja mwenye uwezo kunizidi, ambaye sistahili hata kuinama na kulegeza kamba za viatu vyake.
Kumbe wewe ni mlevi wa mahaba?

Sina dawa ya kukusaidia na ulevi huo; endelea ku-'enjoy' kwa wakati wako.

Andiko lako halistahiri kulipotezea muda zaidi wa kulijibu.
 
majuzi nimekuta wale United bank of Africa (UBA) wanafunga tawi laopale Ubungo niliwauliza wakadai biashara ya mabank inakwenda hovyo sana kwa sasa.
Nikawaza nani aweke fedha zake bank kama wanakwenda huko na kuzipiga pin kisha unaitwa; 'njoo tukubaliane kama unataka maisha ya uraiani'

FNB walifunga branch Sinza. DTB walifunga branch ya Mandela Road na ya pale Fire Kariakoo. Mambo ni mengi aisee.
 
Kuna muwekezaji mpya ameingia ambaye ata inject additional capital, na sasa kwenye mgao huu mpya Rabo bank atapata gawio la 25% ya kampuni hiyo mpya. Additional capital haihusiani na market ya Tanzania. Wanataka kufanya expansion kwenye hizo market nilizotaja (Ghana & Mozambique)
Kwa sasa hivi status inasoma kama Capital outflow (internal NMB buyback) which means Rabobank kauza na kwa sababu hakuna mahali nimeona aliyenunua it means likely NMB wamezinunua, angalia hichi ni kipande cha information nimepewa leo na mtu.

nmb.JPG
 
Hizo ni ni shares za mwaka 2019 usilishe watu matango pori mwaka huu ni 20202
Acha kuwa Kilaza hivo mbele za watu.. sasa hapo unataka kubisha kitu gani?? hiyo niliyoweka ni annual report ya mwaka jana, na lengo langu ni kuoanisha hicho kiasi cha hisa walizokuwa wanamiliki na kiasi cha hisa kilichouzwa jana
 
Back
Top Bottom