Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Nmb bye bye. Kama mwendokasi ilipokabidhiwa kwa wazawa kwisa kabisa
Kama unayosema ni kweli kuwa wazawa tukikabidhiwa tunaharibu, si jambo la kufurahisha, kama wazalendo lazima tujue ni kwa nini tushindwe kujenga Nchi yetu?! Pamoja tutafute suruhisho!
 
Jua kwanza maana na faida ya capital outflow na inflow kwenye uchumi,
 
Wewe ni kilaza sawa na vilaza wengine. Dodd Frank haikuja kutokana na Global Financial Crisis ya 2008. Hebu annika vizuri mpaka mwaka wa hiyo Act. Usitudanganye.
 
Wewe ni kilaza sawa na vilaza wengine. Dodd Frank haikuja kutokana na Global Financial Crisis ya 2008. Hebu annika vizuri mpaka mwaka wa hiyo Act. Usitudanganye.

Dodd-Frank Wall Street Reform and Consumer Protection Act​

The Dodd-Frank Wall Street Reform and Consumer Protection Act is a massive piece of financial reform legislation that was passed in 2010, during the Obama administration. It was created as a response to the finacial crisis of 2008.

INVESTOPEDIA
 
You’re really stupid to think we can grow with only our resources. What your brain thinks is very different from how the world runs.
 
This issue has been settled kwamba shares na Rabo bank NMB zitamilikiwa na kampuni nyingine ya kigeni ARISE!! Hivyo hakutakuwa na outflow ya forex from Tanzania!!!
 
Kama unayosema ni kweli kuwa wazawa tukikabidhiwa tunaharibu, si jambo la kufurahisha, kama wazalendo lazima tujue ni kwa nini tushindwe kujenga Nchi yetu?! Pamoja tutafute suruhisho!
Mkuu sisi tuko vizuri kwenye starehe. Mamabo zingine tuwaachie wazungu
 
You’re really stupid to think we can grow with only our resources. What your brain thinks is very different from how the world runs.

So, who did the West bring in to their countries to develop their banking systems, red Indians?
 
Benki zinaingiliwa sana kisiasa na serikali.

Watu waliozoea kufanya kazi kwa principles za banking integrity wanakuwa na wakati mgumu wa ku uphold banking integrity halafu kuwa na mahusiano mazuri na serikali.

Uamuzi mzuri wa kimantiki ni kujiondoa katika market hiyo.

Sisemi kwamba hiki ndicho kilichotokea, ila dalili zote za miaka ya hivi karibuni zinaonesha kuwa this is highly likely.
 
This issue has been settled kwamba shares na Rabo bank NMB zitamilikiwa na kampuni nyingine ya kigeni ARISE!! Hivyo hakutakuwa na outflow ya forex from Tanzania!!!
Itaje tu Boss 😛 😛 😛
 
Inasemekana CEO mzungu kanyimwa permit
Imepelekea Kwa mara ya Kwanza bank impate CEO mtanzania ..

Why kanyimwa permit?Aliwaudhi nini??
Huyu mtanzania atawamudu kuwakatalia mahitaji yao? Mahitaji Yao ni yapi??

Ndo chanzo cha haya yote
 
Hao wazungu kuwa control ni vigumu.

Anatafutwa mbongo ambaye serrikali inaweza kum control.

CEO wa zamani wa CRDB, Charles Kimei, alishawahi kusema anamuogopa sana Magufuli na atafanya chochote Magufuli atakachoamuru.

Kimei alisema hayo waziwazi.

Kauli hii ni mbaya sana kwa CEO wa benki kuitoa.

Maana yake, Magufuli akitaka kuiba hela za wateja aende kufanyia kampeni za kisiasa, CRDB wangempa.

Maana yake hela za wateja hazikuwa salama CRDB.

Sasa CEO mzungu pengine kumshurutisha amuogooe Magufuli hivyo inakuwa si rahisi, wengine wana reputations zao kimataifa wanataka kuzitunza.

That is on the one hand.

On the other hand, serikali itajitetea kwamba sheria za labor na uhamiaji zinasema kazi itafanywa na mgeni ikiwa tu hakuna Mtanzania mwenye sifa za kuifanya.

Tatizo, investment kubwa zinakuja na clauses fulani za kutaka watu wa nje waongoze vitu fulani.

Sasa hapo unakuta investment friendly policies zinalegeza vikwazo vya uhamiaji/ labor requirements. Nchi yetu haina sheria. Sheria ni anachotaka rais.

Sheria zinawapa discretion kubwa sana mawaziri tu, hata kabla ya kufika kwa rais, kutoa exceptions.

Kwa hiyo hawa ma CEO wa kigeni walioingia enzi za Kikwete ambapo Kikwete alikuwa anatafuta wawekezaji na hakuwa na kipaumbele cha labor laws, sasa hivi kipindi cha Jiwe anayeweka kipaumbele mambo ya kutoa ajira kwa wabongo na kuwa na watu anaoweza kuwatisha, Jiwe anawatoa kwa Technical Knock Out kama Dr. Assad.

Dangote alipewa concessions kibao na Kikwete. Kuingia Jiwe zimefutwa karibu zote. Imebidi alale mbele.

Matokeo yake maumivu wanayasikilizia wananchi kwenye bei ya simenti.

The road to hell is paved with good intention.
 
Ndio umbeya wenyewe huo, aliyenunua humjui unasema Robobank wameuza share zao weka ushahidi nani kanunua ili tusijadili majungu. Je, Robobank uwekezaji wao umekidhi matakwa yao ya awali? Share holders wanaweza kuwa wameamua ku-change hands etc. Na inavyoelekea kuna mambo wewe hufahamu, hii story itaandikwa na itajulikana. Ni wakati wa Watanzania wenyewe kuchangamkia fursa za kununua makampuni nchini mwetu, kama wameondoka ni jambo la heri hii ni fursa.
 
Inasemekana CEO mzungu kanyimwa permit
Imepelekea Kwa mara ya Kwanza bank impate CEO mtanzania ..

Why kanyimwa permit?Aliwaudhi nini??
Huyu mtanzania atawamudu kuwakatalia mahitaji yao? Mahitaji Yao ni yapi??

Ndo chanzo cha haya yote
Wacha wamnyime kama hana vigezo.
 
Wapi huko? Bank zote duniani zinasimamiwa na Serikali husika, ni nchi gani ambayo haizisimamii bank zake?
 
Watu wataipita kama hawaioni kwa sbb ya lugha. watajadili weee wakati jibu liko hapa ni kupigia mstari tu
 
Board of directors bado serikali ina uhuru wa kuteua wakurugenzi ila ceo ambaye ndio mtendaji mkuu wa NMB bado atakuwa mtu kutoka nje...
sio kweli kwa sasa

Mkurugenzi kwa sasa ni mtanzania
 
hawa jamaa hawakuzoea kutoa dividends kwa sasa wamebanwa kwenye kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…