Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland


Serekali na biashara wapi na wapi.
 
Hili siyo outcome nzuru kwa NMB na nchi whaever the reason! Alikuwa backup mzuri sana kwa NMB!
 
Kenya mbona hawakuvaa viraka japo tulikuwa tunalishwa propaganda mfu kuwa Kenya wanafuata siasa mbaya za kibepari? Au Kenya haikuwa nchi changa kama sisi? Mmepata kiongozi ambaye hanyenyekei wageni, kwani wageni wanataka kunyenyekewa? Toka lini kiburi ikawa sifa za kiongozi mzuri?
 
Mkuu 'Bu'yaka', nimelipenda jibu lako, lakini sehemu moja inanishangaza na kunitia shaka:
"Tumepata bandido mwingine..., wa kusimamia misingi hiyo"?

Nakataa kata kata. Wala hakuna hata mlinganisho wa namna yoyote kati yao.
 
Nahisi radobank ndiyo alileta idea ya zile za prepaid card, kumpoteza huyu ni kupoteza ujuzi, maana bank nyingi hapa TZ bado hawajakua na uboreshaji wa huduma kwa wateja na ubunifu,
 
Nahisi radobank ndiyo alileta ahidia hata zile za prepaid card, kumpoteza huyu ni kupoteza ujuzi, maana bank nyingi hapa TZ bado hawajakua na uboreshaji wa huduma kwa wateja na ubunifu,
Kuna mdau amesema inaweza kuwa share transfer kwenye moja ya kampuni tanzu ya uwekezaji ya rabobank.. ngoja tuendelee kutafiti
 
Kuna wakati unakuwaga na akili sana....
hii comment safi kabisa ina mashiko....
ila kuna wakati huwa unakuwa umevuta bangi! mbichi
 
Kenya mbona hawakuvaa viraka japo tulikuwa tunalishwa propaganda mfu kuwa Kenya wanafuata siasa mbaya za kibepari? Au Kenya haikuwa nchi changa kama sisi?
Tofauti yetu hutokea hapa. Sio mbaya.

Kenya hawakuvaa viraka? Mitumba ilianza vipi? Yanga hawakula?

Kenya pamoja na kuwa 'satellite state'; 'an outpost of external operations' ya wakubwa, hasa hao Waingereza na Wamarekani, hali yao haijawahi kuwa na tofauti kubwa sana na ya kwetu.
 
Shares the NMB ambazo zinamilikiwa na Rabobank zinauzwa kwa ARISE.


ARISE ni muunganiko wa FMO, NorFund na Rabobank yenyewe. Nadhani hii sio taarifa mbaya ya kutisha but kuna potential ya impact kuwa kubwa Kwani ni muunganiko wa taasisi 3 kufanya kazi na NMB chini ya mwamvuli wa ARISE.
 
Mbona watakuja wengine tuu!! Tena mabenki ya huko Uingereza yataanza kufurika huku Tz
 
NMB ndio bank inayozungusha fedha zake kwa kasi kwa mwananchi wa kawaida hapa tanzania endapo wataondoka na mtaji wao ni piga kwa uchumi wetu ni fimbo hii tatizo nchi za wenzetu wanajua kuana mbeleni kwa haraka sana kitu gaani kitakuja
Endapo kama ni kweli wameondoka impact tutaiona kwenye quality of decision making.. ambayo itaonekana kwenye ubora wa kitabu cha mikopo na strategy.. Mzungu ni mzungu tu aisee
 

Mitumba iko mpaka Ulaya, hawakuvaa mitumba kwa kukosa nguo bali ni nguvu ya soko. Yanga walikula kwa sababu ya ukame, jambo ambalo ni nje ya maamuzi ya kiutawala. Wote sisi na Kenya ni masikini, lakini ni ukweli usioacha shaka kuwa wanauchumi ulio juu yetu, na hili limekuwa muda wote toka kuvunjika kwa jumuiya ya East Africa.
 
So ni transfer sio? Ila hiyo Arise atakuwa no kama fund manager tu
 
TISS sijui wanasomaga humu au kwakuwa mishahara yao minono hawana cha kupoteza?

Hivi hawa watu kwanini wameamua kutuumiza ndugu zao?

Hawakujifunza kwenye korosho na sukari???
 
Nadhani jibu ni hili hapa.

Unasemaje mkuu Nantoombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…