Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Umeeleza kwa ufasaha sana.Imeeleweka.
 
Ila hiyo ni habari ya 2016 tunahitaji kujiridhisha... Maana ni miaka 4 imepita.. tunahitaji kupata current update kuhusiana na hili suala
Pamoja na kuwa habari kuu kuu ya 2016; inatoa picha hata kama si kamili, lakini inaonyesha mwanzo wa mwelekeo.
 
Sector binafsi inajua namna ya kutengeneza pesa, serekali zote duniani zinajua kutumia pesa, ndio maana nchi ambayo sector binafsi haifanyi kazi vizuri basi uchumi wake unakufa.
 
Ana mazuri yake lakini sio kila jambo kafanya vibaya, cha msingi tuendelee kumshawishi akazane kuweka mambk sawa, nchi ni yetu tuijenge kwa pamoja
 
Serikali inaweza kuwa inataka kuzirejesha benki zake, NMB+NBC, makaburu bado wanaweza kufungua benki yao na kujenga mtando kadri wanavyotaka, siyo kujimwambafy kwenye benki ambayo ilikuwa imeshaanzishwa na serikali.

Bado serikali ndiyo iliku mwenye shareholder kubwa
 
Upeo wa waafrika wengi akiwemo jiwe ni mdogo sana
 
Hisa kuuzwa au kununuliwa ndani tena kama mnunuzi ni serikali, maana yake atamlipa Rabobank na hapo kutakuwa na leakage ya capital. [emoji116][emoji116]
Lakini kama nimeelewa hapa hakuna kilichopotea,kama shares zimenunuliwa nchini ni bora zaidi sababu faida pia itatumiwa ndani,but kama zimeuzwa nje bado hakuna impact mtaji uko pale pale.
Nadhani wasiwasi wa wengi including me ni kuwa, hii Rabobank ndio ilikuwa sharaholder mkubwa na kama mambo yako vizuri huwa si rahisi hasa kwa shareholder mkuu kuuza hisa unless amepata ofa nono.[emoji116][emoji116]
So ni mapema sana kulaumu mazingira uwekezaji kwa hili,sabb halina madhara.kama hisa zimeuzwa maana yake mnunuzi kapatikana.
Hili liko wazi, bank zingine kama NBC zilizorota sana chini ya umiliki wa serikali. Lakini pia tumeshuhudia mambo mengi ambayo serikali imejivika umiliki mwisho wake ukoje, serikali ni kama msimamizi, mlezi na muangalizi wa hizi taasisi na ktk mazingira ya kawaida huwezi kujisimamia, kujilea ama kujiangalia.
Najua pia wasiwasi wako ni kuwa ikiwa shares zimenunuliwa na serikali.yaani unatia shaka ikiwa muwekezaji atakuwa ni serikali yenyewe.sijajua wasiwasi wako ni upi?
 
Mbona alipoingia Mwinyi, na Salim A.Salim kuwa waziri Mkuu aliruhusu mitumba 1985? Sera za kiuchumi za Nyerere na misimamo yake ndio ilipelekea sisi kuvaa viraka, kupigia mswaki na chumvi, uhaba wa bidhaa muhimu nk. Hayo mambo ya ukame na uchumi kuwa mbaya, vita vya Uganda nk ni sababu za ziada, lakini sababu ya msingi ni misimamo kijamaa iliyofeli.
 
Unajua hata maana ya national security au hiyo economic security??? Haya maneno mnayajua au mnakaririshwa tu???

wapi duniani foreign bank imewai kuhatarisha national security au economic security??? Hivi una akili vizuri wewe???
 
Pamoja na kuwa habari kuu kuu ya 2016; inatoa picha hata kama si kamili, lakini inaonyesha mwanzo wa mwelekeo.
Ukweli tutaujua wiki hii lakini nakuhakikishia kwenye haya masuala.. lolote linawezekana
 
Jamani eeeh.. mtu wa ndani wa NMB tunaomba mjazie nyama kwenye huu uzi..
retaining
a 30% stake in NMB

A Rabobank-led consortium has beaten two others in the race to buy a 49% stake in Tanzania's National Microfinance Bank (NMB).

The consortium is believed to be paying almost $30 million for the stake.

Consortiums led by Standard Bank and by Tanzania's Akiba Commercial Bank also bid for the stake. Investors putting in bids were required to have an experienced commercial bank leading the consortium.

As well as Rabobank, the winning group comprises domestic partners Exim Bank, National Investment Company of Tanzania and the Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture.

The government is expected to retain a 30% stake in NMB, Tanzania's largest bank, which it might sell on the Dar es Salaam stock exchange at a later date. A further 21% stake will be sold to Tanzanian citizens and companies.

Under the privatization, Rabobank must provide management and technical assistance for the development of NMB.

NMB mainly provides infrastructure for payments, and offers savings products, although it has recently begun to branch out, offering credit products mainly in the form of micro-loans.
 
Kwa hiyo hizo "sababu za ziada zisingekuwepo" uhaba wa hivyo vitu usingetokea, au?
 
Kuna mdau amesema inaweza kuwa share transfer kwenye moja ya kampuni tanzu ya uwekezaji ya rabobank.. ngoja tuendelee kutafiti
Mkuu mambo ya fedha jitahidi ufahamu nini kinaendelea, ama sivyo unakuwa mpotoshaji tuu. Hii ni share transfer ni kawaida kibiashara.

Naomba ufahamu Robobank iko pamoja na Exim Bank, Equity Bank Tanzania na Standard bank.

Robobank waliwekeza dollar 30 million tuu, ila na utaalamu.

Asante.
 
Mkuu completely no fear at all! tumuogope nani? na sisi ni nchi likubwa huru? tumefanya mengi Africa na Duniani kote wanatujua! jeuri yetu, hatulembi sisi!! kusema hivi hizo ni fikra zako huru unaweza waza chochote!!! na ukawa vyovyote kumbuka ''Mawazo hayapigwi rungu!!

but hiyo fear inakuwa created critically deep down na wewe mwenyewe!! Mabeberu ni mabeberu tu hakuna siku watakupenda mwafrica bila faida!! jipendekeze sana lkn hakuna kitu. kosa kubwa unaloweza fanya km kiongozi ni ukiwa kinyume nao na kuwazodoa kwa janja yao!! hawatakupenda daima!

hapo lazima watakuangusha Maksudi!
hata siku moja hawatafanya kazii kwa ajili ya kuinyanyua Tanzania!/Mwafrica hiyo weka akilini mwako.
Private sector zote Nchini zinafanya kwa misingi ya makubaliano na serikali! hkn kwenda Beyond that point of agreements!!

Tuwaogope wametufanyia nini? labda wao ndiyo wamuogope Rais wanatuhitaji sana kuliko tunavo wahitaji, sababu wako kwetu?? yaani rais anaongoza watu Million 57 aogope watu weupe? Hiiii Bhagoshaa! honenee naresata ntwee!

hivi unajua japo kidooogo asili yao wale watu? in comparison with us? au tunaongea na mtoto hapa? je wajua madini km ile dhahabu wana fanyia nini weye? au wasema tuu!!

Rais hana fear! na hata kuwa nayo!!! labda kwa mtizamo wa fikra zako tu! unaweza waza vyovyote na uka heshimiwa!!
kutokujipendekeza kwa mtu siyo uoga. bali msimamo wake km Rais!! kwa huu mtizamo wako ma Rais kibao wa Ulaya, Latin America nk, hawaji Africa?? ina maana basi wanatuogopa?

Hkuna jamii ya watu/nchi,Duniani ambao haina miiko( ambao unauita udikteta) japo kwa mbaali, hata nyumbani kwako lazima uwe na miiko (Dikteta), jaribu kuwa baba wa kiholela nyumbani kwako uone utamu, halafu ndiyo uje na sera zako za udikteta!!

majirani watakushangaa na kukuona siyo baba Bora! km hukuweka miiko nyumbani kwako!!! kijana wako mkubwa hawezi kuingia/ kujilaza mahali unapolala na kujipumzisha wewe na mkeo, wakati mkifanya yenu! japo ni mama yake mzazi!

NDIYO wanakuja kuiba Madini na kunyang'anya, kwani uongo??? kinacho fanyika sector ya madini ni uporaji mchana kweupeee! tena bila kunawa usiku na mchana, Nyerere alikataa huu ujinga!!! huyu tumempa dhamana wacha asimamie!!! awezavyo!!

Biashara inagomba sana tu wewe hujui wanalalia tena waziwazi!! tulikataa tangu mwanzo hawataki wayaache hayaozi yale Madini. watanzania watakuja kuchimba!

Hujui thamani yako Duniani km mtu mweusi! wewe nakwambia! sisi ni sisi wao ni wao '' Seat down and Re think on your own as twice as much as your brain capacity can uplift you!! we can live on our own and make changes!. wazee wangu shule za misheni zimewaharibu sana!
 
Hao ni ndugu zako, wajomba, shangazi, wapwa, babu, bibi, washikaji n.k
Mtu amejikunja na katecno kake anafurahia serikali kujiingiza kufanya biashara, Afrika tunasafari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…