Kiini cha tatizo ni kwamba hamridhiki! hata mpewe nini , cha msingi ni kula kichapo tu mpaka kieleweke, ikishindikana ni kata funua waafrica bado ni wanyama sana, ndivo inavyotakiwa kuwafanya!! muombe sana mimi nisipate madaraka!Uswalinganishe Rais Mstaafu Mwinyi na Kikwette na vitu vya hivyo hovyo!! Wale walikuwa wanapenda kila Mtanzania wawe na maisha mazuri, walikuwa hawaui wananchi wao na walikuwa hawawafilisi matajiri
Kumbe najibizana na mtu asiyejitambuaKiini cha tatizo ni kwamba hamridhiki! hata mpewe nini , cha msingi ni kula kichapo tu mpaka kieleweke, ikishindikana ni kata funua waafrica bado ni wanyama sana, ndivo inavyotakiwa kuwafanya!! muombe sana mimi nisipate madaraka!
na ndivo ilivo tumesha wajulia mwinyi mlimuita ''! kawekwa mfukoni, Mzee Rhuksa'' unajua manake?.... huyu wa sasa mna mwita Dikteta - safi kabisa!
Kikwete mlimwita Dhaifu, hana maamuzi!!
MWalimu jkn - kitama kwigwa!! mchonga, haambiliki, na mengine meengi!! amewapa siasa ya ujamaa na kujitegemea mmempinga sasa mko wapi?
Mkapa - mzee wakujisikia, Jeuri, kibri, mara alimuua Nyerere! nyie muombe mungu wenu mkae na hao hao wanao wabembeleza kama huyu mzee wa chato!! ningekuwa mimi walahi maji mngeita ''mmma!!!
Kumbe ulikuwa hujui? basi unatumia mananii kufikiri!!Kumbe najibizana na mtu asiyejitambua
Serikali inaweza kuwa inataka kuzirejesha benki zake, NMB+NBC, makaburu bado wanaweza kufungua benki yao na kujenga mtando kadri wanavyotaka, siyo kujimwambafy kwenye benki ambayo ilikuwa imeshaanzishwa na serikali.
Zitaje hizo benki 50 au unaongelea microfinance?Benki binafsi ziko zaidi ya 50 serikali kuwa major shareholder katika benki moja au tatu hakuna ubaya wowote!
weka akiba ya maneno mkuu.Kaburu gani atathubutu kuja kufungua bank yake mahali ambapo inaweza kutoka amri ya kupora pesa za watu bila kupitia njia ya mahakama? Rejea sakata la fedha kwenye maduka ya Bureau de change kuporwa.
Acheni utoto , kodi kama corporate tax haijaongezeka , ni ile ile ya wakati wa Awamu ya Nne, kilicho badili nini usimamimizi wa ukusanyaji kodi.Kwa Ubabe wa Kipuuzi wa TRA pamoja na Siasa za Kukomoana Kiuwekezaji na Kibiashara hasa kwa Awamu hii sishangai kabisa Jamaa Kuondoka.
Hii ni hulka ya "saccos" kwamba akitawala mtu mwingine nchi haiwezi kufanikiwa, ila akitawala mwana "saccos" ndio nchi itaenda vizuriNi kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)
Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.
Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.
Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.
View attachment 1662012
View attachment 1662013
Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.
Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.
Mjumbe hauawi
N. Mushi
Akiba ipi labda?weka akiba ya maneno mkuu.
siasa isikupe upofu.
Hakuna mlinganisho, ni kweli. Ujio wa pili wa Mwalimu umefanya makubwa zaidi.Nakataa kata kata. Wala hakuna hata mlinganisho wa namna yoyote kati yao.
Kumbe wewe ni mlevi wa mahaba?Hakuna mlinganisho, ni kweli. Ujio wa pili wa Mwalimu umefanya makubwa zaidi.
Umehamisha makao makuu ndani ya miezi sita wakati mara ya kwanza haikuwezekana kwa miaka 24. Tumeacha kutegemea mji mmoja tu wa Dar es Salaam nchi ya watu mil 60.
Ujio wa pili umejenga hospitali za wilaya nyingi ndani ya miaka mitano kuliko zilizojengwa miaka 24 jumlisha 10 ya Mwinyi jumlisha 10 ya Mkapa jumisha 10 ya Kikwete.
Ujio wa kwanza wa Malimu haukujenga barabara hata moja kwa hela bila hisani. Mwalimu aliporudi mara ya pili kama Waziri wa Ujenzi ndio akamwambia Mkapa ndani ya cabinet kwamba ni lazima tuanze kijenga barabara zetu. Barabara ya Dar - Mwanza wahisani walisema hakuna traffic volume ya ku justify kutandila lami. Tumeimalizia 2008, 2009 kwa hela zetu.
Kwa hiyo ujio wa pili wa Mwalimu umejenga barabara nyingi miaka 15 kuliko miaka 24 ya ujio wa kwanza, 10 ya Mwinyi na 10 ya Mkapa.
Umeme, shule, madini, meli, kote huko habari ni hiyo hiyo, yamefanywa ndani ya miaka mitano mara kumi ya yaliyofanywa miaka 50 ya uhuru.
Marko 7:1
“Baada yangu anakuja mwenye uwezo kunizidi, ambaye sistahili hata kuinama na kulegeza kamba za viatu vyake.
majuzi nimekuta wale United bank of Africa (UBA) wanafunga tawi laopale Ubungo niliwauliza wakadai biashara ya mabank inakwenda hovyo sana kwa sasa.
Nikawaza nani aweke fedha zake bank kama wanakwenda huko na kuzipiga pin kisha unaitwa; 'njoo tukubaliane kama unataka maisha ya uraiani'
Kwa sasa hivi status inasoma kama Capital outflow (internal NMB buyback) which means Rabobank kauza na kwa sababu hakuna mahali nimeona aliyenunua it means likely NMB wamezinunua, angalia hichi ni kipande cha information nimepewa leo na mtu.Kuna muwekezaji mpya ameingia ambaye ata inject additional capital, na sasa kwenye mgao huu mpya Rabo bank atapata gawio la 25% ya kampuni hiyo mpya. Additional capital haihusiani na market ya Tanzania. Wanataka kufanya expansion kwenye hizo market nilizotaja (Ghana & Mozambique)
Acha kuwa Kilaza hivo mbele za watu.. sasa hapo unataka kubisha kitu gani?? hiyo niliyoweka ni annual report ya mwaka jana, na lengo langu ni kuoanisha hicho kiasi cha hisa walizokuwa wanamiliki na kiasi cha hisa kilichouzwa janaHizo ni ni shares za mwaka 2019 usilishe watu matango pori mwaka huu ni 20202