Ukimaliza kucheka, Acha udini!Umenichekesha sana. Katika siku ambayo nimecheka ni leo niliposoma hii comnent yako.
Ha ha ha ha ha ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza kucheka, Acha udini!Umenichekesha sana. Katika siku ambayo nimecheka ni leo niliposoma hii comnent yako.
Ha ha ha ha ha ha
Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Tanzanite tumeshindwa itakuwa hayo majina?? Naongezea tu.Unadhani Hata yakiwa na Hati miliki Nani atafatilia kama kila mtu Ana njaa ya pesa.?
Hili jambo nadhani linakuzwa tu, kwa vile mama alienda huko kutembelea babu zake.Waafrika tutaelimika lini? Obama ametawala miaka 8 marekani lkn sikusikia hata siku 1 mmarekani akilalamika kuwa Obama ameinufaisha Kenya kuliko nchi nyingine ya africa ila Obama kama angekuwa rais wa tz angeipata freshiUfisadi wenye nasaba na uarabuni umetamalaki awamu hii, kama ilivyokuwa awamu ya 4!
Kutengeneza pesa siwezi pinga ila sio kwamba ndo wataua mbuga zetu na watalii kwenda huko kwao. Hilo kamwe haliwezekani. Ile wildbeest migration ya Serengeti wataweza kuihamishia kwao? Lile bonde na mandhari ya Ngorongoro wataweza kuitengeneza? Olduvai kwenye moving sand? Gombe? ....muhimu tu ni sisi kumshukuru tu Mungu kwa hii bahati na kutumia vizuri utajiri wa asili tuliopewa. Sisi tukipewa Dubai halafu Dubai wakapewa Tanzania nadhani itachukua miaka mitano tu waarabu kuwa mara elfu ya Dubai ya sasa.
Wataitemgeneza hadi dar es salaam huko huko...
Hiki ulichokiandika hapa kina uhusiano gani na Lissu? Watu wanaongelea mbuza za wanyama zilizoanzishwa uarabuni, huku wanyama wetu wakibebwa kupelekwa huko kwa ndege, chini ya hii serikali yako iliyo jichokea, ya ccm!Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Munalalamika kitu gani?Wakati Serikali yenu ya CCM ndio inayo uza hao Wanyama? Serikali itauza wanyama mwisho wanyama wakimalizika watauzwa binadamu itabidi hao waaarabu wa UAE kukamilisha mbuga zao za wanyama itabidi waje Tanzania kuwanunuwa Wamasai wakisha wanunuwa wamasai wamekamilisha mbuga za wanyama Wawanunue Wamasai pamoja na Ng'ombe zao kisha wawatengenezee mbuga yao ya kuwafuga wanyama wao hao wamasai na wapate kuishi kama wanavyoishi Tanzania karibu na mbuga za wanyama hao wamasai.Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
Mtu anashauri anapuuzwa, watanzania tuna tabia ya kuchukulia vitu vizito kiwepesi mpaka vikue ndo twashtuka.eti hawawezi hata nchicha ulisotawi kidogodogo kama n'buyu.Executive producer wa Royal Tour
Kwa mwaka tanzania inapokea watalii milion mojaKuweni tu na amani hakuna tatizo ndio mbuga zetu zitatembelewa zaidi maana mtu atataka aione Ngorongoro na Serengeti original sio hizo Artificial
Tanzania ina kila Aina ya kivutio Ila Kwa mwaka inapokea watalii milion 1.Natural habitat of animals siyo zoo! Toka Karne na Karne zoo zipo nasi upande wetu kila mwaka watalii huongezeka! It's simple as that!
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
Akapita kati kati yao, Amanda zake.Na hili nalo mkalitizame.
Akapanda ndege akaenda zake
Akapita katikati yao, akaenda zake.Na hili nalo mkalitizame.
Akapanda ndege akaenda zake
Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa
Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano
Kuna Serengeti kuna Ngorongoro
Kuna mji umejengwa kama Zanzibar na umeitwa hivo magari ya watalii pia yamejazana huko hatma yetu kama taifa sijui ipo wapi upande wa utalii
Wamejenga mpaka yale madaraja ya kamba kama ya lake Manyara.
View attachment 2462127View attachment 2462128View attachment 2462129View attachment 2462130View attachment 2462131View attachment 2462132View attachment 2462133
Kuna bustani za wanyama ( zoo) nyingi duniani tena kubwa ikiwemo Disney nazo zinatumia majina ya Mbuga za Wanyama Afrika ukiwemo hilo la Serengeti lakini hazijawahi kuathiri utalii wetu. Zaidi ni advantage kwetu kwa kutangaza vivutio vyetu.
Kuna watu wanaopenda kuona Wanyama katika mazingira halisi sio hayo ya kufungiwa.