Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

Zoo za wanyama hazitishii uhai wa mbuga zetu.
Ni wivu wako tu.
 
Ufisadi wenye nasaba na uarabuni umetamalaki awamu hii, kama ilivyokuwa awamu ya 4!
Hili jambo nadhani linakuzwa tu, kwa vile mama alienda huko kutembelea babu zake.Waafrika tutaelimika lini? Obama ametawala miaka 8 marekani lkn sikusikia hata siku 1 mmarekani akilalamika kuwa Obama ameinufaisha Kenya kuliko nchi nyingine ya africa ila Obama kama angekuwa rais wa tz angeipata freshi
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tuhurumie sisi Watanzania na wanyama, madini na kila kitu cha thamani katika nchi yetu, ehh Mola wangu tutalia hadi lini?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ni lini tutapata viongozi wanao penda nchi yetu Tanzania [emoji1241]?
Ehh Rabuka wangu tenda kitu mpaka watu wote tushtuke na ndio uwe mwisho wa kuiibia nchi yetu walahi [emoji2972] Aamina!
 

Kwani ni wapi ulisikia kuwa wao wana mipango ya kuuwa utalii wenu? Ila ambalo unatakiwa ufahamu kuna uwezekano mkubwa wa hizo mbuga zao kutengeneza hela zaidi kuliko sisi, na hapo ndipo utakapoona utafauti wa akili baina ya binaadamu.
 
Hiyo ndiyo furaha ya Lisu
Maana ukipinga atakwambia utashitakiwa MIGA
Hiki ulichokiandika hapa kina uhusiano gani na Lissu? Watu wanaongelea mbuza za wanyama zilizoanzishwa uarabuni, huku wanyama wetu wakibebwa kupelekwa huko kwa ndege, chini ya hii serikali yako iliyo jichokea, ya ccm!

Wewe unaleta story za Lissu na MIGA!
 
Munalalamika kitu gani?Wakati Serikali yenu ya CCM ndio inayo uza hao Wanyama? Serikali itauza wanyama mwisho wanyama wakimalizika watauzwa binadamu itabidi hao waaarabu wa UAE kukamilisha mbuga zao za wanyama itabidi waje Tanzania kuwanunuwa Wamasai wakisha wanunuwa wamasai wamekamilisha mbuga za wanyama Wawanunue Wamasai pamoja na Ng'ombe zao kisha wawatengenezee mbuga yao ya kuwafuga wanyama wao hao wamasai na wapate kuishi kama wanavyoishi Tanzania karibu na mbuga za wanyama hao wamasai.
 
Natural habitat of animals siyo zoo! Toka Karne na Karne zoo zipo nasi upande wetu kila mwaka watalii huongezeka! It's simple as that!
Tanzania ina kila Aina ya kivutio Ila Kwa mwaka inapokea watalii milion 1.

Tunisia haina hata mbuga Ila angalia takwimu zake hapa chini

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Duh
 

Ndoto, asili ni asili, kuna kitu kinaitwa landscape au tambarare ya serengeti au bonge la Ngorongoro, mambo mengi sana Tanzania hayawezi kiwa na duplicate.
 

Factos. Original ni original tu
 
Hamna kitu hapo, utalii hauwezi kuathiriwa na hiyo zoo ya kutengeneza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…