shemeji mzima?? umefiliwa na nani?? pole shemeji!Rip sharobaro. Will surely miss u kamanda. So sad
#Umejuaje ni mapenzi ya Mungu,Dah! nimeupokea msiba huu kwa masikitiko makubwa sana, sina raha hata kidogo moyoni mwangu kuondokewa na mchekeshaji mzuri kama huyu aliyekuwa na jukumu la msingi la kutuongezea siku za kuishi za kila mmoja wetu kwa kutuchekesha.
Ila kwa kuwa kila mwenye uhai lazima aonje mahuti, hatuna budi kumtakia apumzike kwa amani SHAROMILONEA.
MUNGU KWA MAPENZI YAKE AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI Ameen!
HHHaaHHH!!! RIP SharoWana Jf,
Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
====================
UPDATE
====================
#Kama siy mapenzi yakazi ya mungu
haina makosa, R.I.P Sharo.
sasa kama aliiishi maisha ya kipumbavu pumbavu akifikiri muda bado. sasa imeshakuwa mbaya. kifo tunatembea nacho wajameni. RIP MEEN!