TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Eee Mungu kwanini umeyaruhusu haya yamtokee kaka uyu mpendwa na watu! !!? Ulikua ukituondolea stress wengi jamani aswa mie

Haya bwana Sharo Pumzika kwa amani kaka.
 
duh Rest in Peace....

hii nchi bana..ajali kila siku....
Kuna nchi ambayo haina ajali? alikuwa kipenzi sana cha mtoto wangu, akimuona kwenye luninga tu.. Sharo meenn! duh! RIP Bra Sharo meeeeeeen
 
Rip sharo millionea..tutakumiss kwa mengi
1- ohhh mamaaa
2- kamata mwizi meeeen
3- unatoa wap meeeen
4- umebugiii meeen
5- nimeamia meeeeen
6- chuki ni bureeee
7- kilima panda kilima hewa
8-
9-
10-
 
Ayayayayaaaaaaa...nakumbuka lile tangazo alilofanya...nimehamia!!! baada ya kubug alipokuwa, RIP....Ila wadau kumbukeni barabara ya Dar - Arusha ikishaanza Decemba inakiu mbaya ya damu!:target:
 
mmh sharo anayeigiza sana na king majuto au nimemix madesa!??

Ndio huyo Sharo Milionea, kijana mchekeshaji wa aina yake ametutoka kwa ajari ya gari aina ya Harrier kutoka dar kwenda muheza. Halikuwa peke yake ndani yake.
 
:rip: Hussein Ramadhan Mteity,
a.k.a Sharo Millionea.
Nimeumia sana.
 
Apumzike kwa amani,na mungu twamuomba amsamehe dhambi zake na zambi zetu

muhimu kujiandaa na safari hii inayokuja kwa ghafla

ila naomba sasa nisiskie yale maneno mbofu mbofu mara sijui ooooh alikua freemason,or sijui alijitabiria kifo chake n.k,,

keshafariki kilichobaki ni kupata mazingatio na kumuombea yaliyo ya kheri mbele ya safari yake hiyo..
 
umebugi step meeen ... and ussinichafue meen

ooh my god kweli wanaondoka vijana wadogo wadogo amabao vipaji vilikuwa ndio vinaanza kuchipukia

RIP kamanda wote tuko njia moja ..ingawa inasikitisha
 
Gone too soon, R.I.P in peace sharo milionea.
 
pole madam,pole sana kwa maumivu hayo ya moyo

kwa kweli ni habari ya simanzi sana

Asante sana THE BIG SHOW.
Nimempoteza nikiwa bado namuhitaji sana.
Nitakutana nae peponi.
Siwezi kuficha Hisia zangu.
Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…