TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Vile vile kusafiri mwendo mrefu kama huu ni vyema kuongozana na mtu angalau mkawa mnaongea ongea, unaweza kukuta marehemu alikuwa anasinzia kabla ya kupata ajali.
 
Poleni watanzania wote kwa kufiwa na mtu muhimu kwenye tansia ya filamu,mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Hii noma ingawa ndo njia ya wote lakini inauma yaani ndo kaanza tu kuzivuna kutokana na mawindo ya mda mrefu bila kutoka kuigiza kama teja na kamata mwizi men mpaka kutoa tracs/music lakini anatutoka ghafla kama utani. Ni kweli vyema huwa havidumu bali vyenye matatizo hudumu ingawa sijui ni kwa nini e.g; mafisadi, wauaji, wachawi n.k. Mpaka kesho sijui jibu labda tusaidiane kwa hili.
 


inasemekana zamani hakukuwa na dhambi, ila baadaye
kiburi "kikaonekana" ndani ya Lucifer (Ibilisi)
aliyetaka kujiinua ili awe sawa na Mungu.
Ndipo Mungu akamtupa kuzimu yeye na
theluthi moja ya malaika. Na haya yote
yalitokea kule kule Mbinguni.

SWALI:
IWEJE BABA ALIYE MTAKATIFU AUMBE KIUMBE
KILICHOKUJA KUWA NA HITILAFU KAMA
LUSIFA?

Pia tunaambiwa vyoote kaviumba yeye na ni mali
yake...sasa je kwa nini mpaka leo ameshindwa
kumwadhibu na kumchukulia hatua za kinidhamu
shetani?

Je huyo Mungu yupo kweli?
Na je anastahili hii misifa mnayompa?
 

Mkuu, kwema?
 

hivi ilimshinda nini kupanda basi kama hajawahi endesha masafa marefu
 
Maswali mengine bwana!!!!!!!!
 
wote hatujui, ila namuomba mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi amina.

Okoa pumzi na muda wako kwa kumuombea marehemu ambaye alipewa muda na kila kitu cha kuchagua pa kwenda.

Mungu amlaze mahali alipojichagulia kwenda. Mungu ni mwema na mwaminifu sana, ukichagua kwenda jehanamu kwa matend na maisha yako, utaenda huko, ukichagua kishi kumpendeza na kumtumikia Mungu ili uishi naye milele, utaenda huko. Hakuna kumsumbua Mungu eti amlaze mahali pema akati mrehemu alishachagua mahali pa kwenda katika kipindi chamaisha alichopewa.
 
tusubiri msiba uishe ndipo hayo mauchunguzi yenu yafuate
Kilichonifurahisha mimi na kunifariji huu msiba umetokea kwao Tanga na kwa taratibu za Kiislamu ni lazima azikwe mapema, kwahiyo hapa lile kundi la Matapeli likiongozwa na kina Steve Nyerere hawakupata fursa ya kujipachika vyeo vya kamati ya mazishi na kutafuna rambi rambi.

Hawa Matapeli wangepata hiyo fursa mngesikia gharama za msiba zimefikia millioni 50.
 
Kilichosababisha kifo ni ajali labda tusubiri kujua kilichosababisha ajali.

sasa unawaona wenzetu hapo juu wanasema ajali haikumuua (ajali haikusababisha kifo, yani kufwa kwake mtu huyo), ila kifo ndio kilichomuua.
matumizi ya lugha ya kiswahili ni shida bado hata kwa wazawa.
 
kaka kifo hakiui

sema wewe mkuu,
nimejaribu kusema lakini bado hawa jamaa wenzetu hawaelewi.
haiitaji uwe umesoma zile lugha mbili na masomo ya watu wa kale ndio uelewe kutumia vizuri maneno yakaleta maana.
yani mtu kang'ang'ania kuwa kifo ndio kinaua yani sielewi.
 
Need I say more?
 

Mungu yupo na ataendelea kuwepo. Mungu mwenyezi hafananishwi na chochote, njia zake sio njia zetu, mawazo yake sio mawazo yetu. Njia zake na mawazo yake yako juu sana kiasi ambacho akili zetu haziwezi kuelewa (we cannot comprehend or apprehend God with our own natural skills and intelligence). Huwezi kumwelewa Mungu kwa kusoma sana wala kwa akili zako. Kusoma sana Biblia, sio kumjua Mungu. We can only understand God in a place of revelation and revelation comes when the move of Holy spirit is allowed and we hear from God. Mungu amefanya kila kitu kwa kusudi lake, He is God of all times above all no matter what happens, He shall remain to be God forever. Whether you accept him or refuse him he created everything and He is God.

Mambo ya Mungu yanachanganya sana maana haya make sense katika akili za kibinadam, ndio maana wengine wamebaki kum-judge Mungu by their ability and skills in the natural. Tunahitaji muunganiko kati ya Neno la Mungu na Roho Mtakatifu kumwelewa Mungu. He is almight God and so shall remain. Historia inaonyesha watu wote waliokuwa activist wakipromote ideas za kwamba Mungu hayupo waliishia mwisho mbaya mfano Calmax na wengine. Na viongozi wote waliokandamiza injili miisho yao haikuwa mizuri Idd amini,sadam na gadafi ni mifano michache. I am not threatening anybody, but that's history to remember. Remember there are consequences for every statement man makes in their lives. So the earlier one accepts and go to him the better.

Sababu kubwa ni uvivu, maana yeye amesema nawapenda wale wanipendao na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Kwa hiyo swala ni kwamba ukimtafuta Mungu kwa bidii utamuona na utamuuliza maswali haya yote. He is very polite he will surely answer you. Na kwa kadiri unavyo mkaribia ndivyo unavyopunguza wasiwasi na maswali juu ya Mungu na mambo yake. God is real. Call on to him and he will answer thee Jeremiah 33:3.
 
Dunia uwanja wa fujo, kila mwenye ngoma yake apige ipasuke. Poleni wafiwa. Sharobaro mtoto wa kibondei mtoto wa Lusanga Muheza, poleni sana Lusanga, Tanganyika, Muheza Masuguru, Michungwani, Mbaramo, Ngwaru, Majengo, Kilulu na nyote Mlioguswa na Msiba wa Sharo baro. POLE MZEE MAJUTO. NAKUJUA TANGU ENZI ZA ZINGIBARI NA MOA, POLENI SANA, POLE SANA. NAKUMBUKA PALE MOA MIEMBE MIWILI MIAKA YA MWANZONI YA 80. Namkumbuka sana Babu yangu alikua akinipa cent tano, kuja kukuoneni na mkifanya vichekesho. Pole sana mkongwe. R.I.P BARO BARO. A. K. A SHARO BARO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…