TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Huyu jamaa kifo chake kiliniuma sana, sijajua kwanini niliumia kiasi kile! [emoji848]
Mimi pia Jamaa tulianza akumpenda yani kwa kiipindi kile alikua Ndo rising Star...
Yani kama mafanikio ndo yalianza niliumia kwa ajili ya ndoto za huyu kijana kukatika.

Mwingine ni aggy masogange mpaka leo jaumiaga sana huyu dada kufa
 
Alikua ndugu yako, mmechangia damu?
Mtu kama huna undugu nae unaanzaje kujifanya eti unaumia akifa, ujinga huo
Sina undugu wowote na Sharomilionea hata ule wa kuhisi, lakini kifo chake kiliniuma kuzidi hata vifo vya baadhi ya ndugu wa familia yangu.
Unaponiambia huo ni ujinga, asante, na huo ndiyo ujinga wako 🤔
 
Sina undugu wowote na Sharomilionea hata ule wa kuhisi, lakini kifo chake kiliniuma kuzidi hata vifo vya baadhi ya ndugu wa familia yangu.
Unaponiambia huo ni ujinga, asante, na huo ndiyo ujinga wako [emoji848]
Well,
 
Alikua ndugu yako, mmechangia damu?
Mtu kama huna undugu nae unaanzaje kujifanya eti unaumia akifa, ujinga huo
🤣🤣🤣 acha bangi mkuu, unasemaje hukuona taarifa na hapa ulitoa maoni 🤣
 
Wana Jf,

Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea jina lake Hussein Ramadhani, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

tuzosharonmajuto.jpg


attachment.php



====================
UPDATE
====================
Huyu jamaa aliniuma sana.
 
Back
Top Bottom