Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa kifo chake kiliniuma sana, sijajua kwanini niliumia kiasi kile! 🤔Vifo vyoote vya watu maarufu.. hiki ndio kiliniuma aiseeh.. mpaka leo.
Alikua ndugu yako, mmechangia damu?Huyu jamaa kifo chake kiliniuma sana, sijajua kwanini niliumia kiasi kile! 🤔
Mimi pia Jamaa tulianza akumpenda yani kwa kiipindi kile alikua Ndo rising Star...Huyu jamaa kifo chake kiliniuma sana, sijajua kwanini niliumia kiasi kile! [emoji848]
Sina undugu wowote na Sharomilionea hata ule wa kuhisi, lakini kifo chake kiliniuma kuzidi hata vifo vya baadhi ya ndugu wa familia yangu.Alikua ndugu yako, mmechangia damu?
Mtu kama huna undugu nae unaanzaje kujifanya eti unaumia akifa, ujinga huo
Well,Sina undugu wowote na Sharomilionea hata ule wa kuhisi, lakini kifo chake kiliniuma kuzidi hata vifo vya baadhi ya ndugu wa familia yangu.
Unaponiambia huo ni ujinga, asante, na huo ndiyo ujinga wako [emoji848]
Miaka yote mkuu?Sikusikia hii kifo
🤣🤣🤣 acha bangi mkuu, unasemaje hukuona taarifa na hapa ulitoa maoni 🤣Alikua ndugu yako, mmechangia damu?
Mtu kama huna undugu nae unaanzaje kujifanya eti unaumia akifa, ujinga huo
Huyu jamaa aliniuma sana.Wana Jf,
Kuna habari za kusikitisha na uhakika kuwa msanii aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea jina lake Hussein Ramadhani, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
![]()
![]()
====================
UPDATE
====================