TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Aah we kwenda zako, mi na wewe njia moja, si bora hata nisiende

Wakati mwingine basi uwe unaficha upumbavu wako unadhani kuongea sana ndio unaonekane mjanja wa JF, mijitu mingine bana...kwa hiyo wewe huwezi kufa...njia yetu sote kila mwanadamu kaumbiwa kifo. Wewe kila sehemu ushabiki wa vyama tu. Papuluioo!!
 
Daa dogo alikuwa amefika pazuri kwenye sanaa na bongo flava. Rest In Peace sharo millionea
 
mungu amlaze mahali pema peponi sharo millionea ebu wana jf nisaidieni naona kila mtu anaweka hizi herufi "rip" ebu sisi wa kijijini tuelewesheni na mimi ngoja niigilizie rip sharo ingawa sijui maana yake nionekane wa mujini.

r.i.p = rest in peace
 
RIP Sharobaro! Sijui kwa nini mtu akianza kuvuma anatangulia mbele ya haki!
 
Mungu wangu! Kweli tulikupenda tena sana lakini muumbaji wetu alikupenda zaidi.Ulale kwa amani,
 
Habari ilitangazwa Ch 5 nami niliipata hapo. Labda maandiko yametimia kwamba mna macho hamuoni na mna masikio hamsikii
 
Dah tumkumbuke Mungu jaman, kifo kipo karibu sana,, rest in peace sharobaro, u entertain us a lot, sichoki kukutazama especially unavyojifuta futa meeeen...
 
Wakati mwingine basi uwe unaficha upumbavu wako unadhani kuongea sana ndio unaonekane mjanja wa JF, mijitu mingine bana...kwa hiyo wewe huwezi kufa...njia yetu sote kila mwanadamu kaumbiwa kifo. Wewe kila sehemu ushabiki wa vyama tu. Papuluioo!!

umenena vyema ndugu yangu Ritz,sio wakati wote niwa sifa za kijinga
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anaweza mfunika kanumbaa? Ila nasikia jamaa alikuwa anapendwa na wababa
 
RIP Sharo milionea!
Bwana ametoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe!
 
ndani ya wiki moja wasanii watatu tena wa maigizo wametangulia mbele za haki inasikitisha sana, ila kaz ya mola haina makosa, msalimie kanumba sharo

wanatoana kafara..naskia hadi wema nae anajitengeneza sku izi.
 
Back
Top Bottom