TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Tulimpenda sana ila "frimaso" wamempenda zaidi, Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi...will miss u sharo' ooh mamaaa
 
= = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = =
Upumzike kwa Amani mdogo wangu

= = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = = =
 
Kama kamanda wa polisi mkoa wa Tanga amethibitisha atakuwa amefariki mungu amlaze pema peponi
 
Msanii maarufu wa vichekesho Shalo Balo au Shalo milionea amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari huko Lushoto Tanga,,,Mungu amlaze mahali pema Shalo!!
R.I.P Shalo!!!

Chanzo: BBC Swahili.
Sio leo asubuhi sema wewe umesikia leo asubuhi
 
Yaani jana tu nikawa nacheka kuhusu tangazo lake la airtel! Huku hakusomeki meeen! Nimehamia meen! MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA! R.I.P MEEEN!
 
Inawezekana Akawa ni mtoto wa Mzee Majuto yatajulikana kwenye msiba tuvute subira
 
kweli uko mbali! kafark tangu jana saa2 usiku_thanx kwa info'
 
Rip sharobaro. Will surely miss u kamanda. So sad
 
Back
Top Bottom