Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... ni kifo ndicho kilichomuua
Inasemekana gurudumu la mbele lilipasuka chombo kikapoteza uelekeo. Lakini kilichomuua hasa kama alivyosema mkuu Jabulani ni kifo. RIP
KHA! MTU PEKEE wa kuulizwa ni yeye na ndio hivyo kafa
hapa utaendelea kutopata majibu maana wote tumepata taarifa.
pili kashazikwa hata tuongee au kujua chanzo haitasaidia kitu.
polisi washasema alikuwa mwenyewe.
vp unataka mrudisha?
Ajali ya gari does not necessarily lead to homicide, unaweza ukavunjika kidole tu na maisha yakaendelea. Ili ufe lazima kifo kitokee. Kilichomuua huyo msanii ni kifo, sio ajali ya gari
Wote tunafahamu ni ajali ya gari. Swali langu je ni alikuwa peke yake, alikuwa amelewa , speed kali, au ubovu wa barabara, ubovu wa gari , au hakuwa na uzoefu na driving. Sina maana mbaya maana kila inapotokea msiba pamoja na majonzi pia watu wanajifunza......R.I.P .
Unajua na utoto! Ujana! ubishoo! etc. Tena kama ni automatic, which is very much likely to be so, hauhitaji kuwa dereva!????? Nawaona akina mama/baba wanaendesha leo leo hii toka dukani. Lakini na yote RIP.