TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Inasemekana gurudumu la mbele lilipasuka chombo kikapoteza uelekeo. Lakini kilichomuua hasa kama alivyosema mkuu Jabulani ni kifo. RIP
 
Last edited by a moderator:
Inasemekana gurudumu la mbele lilipasuka chombo kikapoteza uelekeo. Lakini kilichomuua hasa kama alivyosema mkuu Jabulani ni kifo. RIP

hivi kifo kinaweza kumuua mtu?
yani kifo ni kisababishi cha nini? lazima kuwe kitu ndio kimesababisha kifo sio kifo ndio kimemuua mtu kwa sababu kufa ndio kifo chenyewe ndio maaana watu husema nini chanzo cha kifo chake kifo ni end in it self not cause to an end.
jamaniii
 
KHA! MTU PEKEE wa kuulizwa ni yeye na ndio hivyo kafa
hapa utaendelea kutopata majibu maana wote tumepata taarifa.
pili kashazikwa hata tuongee au kujua chanzo haitasaidia kitu.
polisi washasema alikuwa mwenyewe.
vp unataka mrudisha?

Watanzania hivi ni lini tutajifunza kutokana na makosa,mleta mada anauliza suala la msingi kabisa
ambalo majibu yake yanaweza kutusaidia wengine what exactly happened,ili hata kuweza kuepuka pindi
tupatapo adha kama hizo.Ni kweli sharo alikuwa yuko peke yake huwezi kujua inawezekana kuna watu wakawa
na taarifa nini hasa kilitokea mpaka akapata ajali,whether mwendo kasi,au uchovu,barabara n.k
ikawa somo kwa watu wengine..........tusipende kupinga tu kila kitu,ni hayo tu
 
Ajali ya gari does not necessarily lead to homicide, unaweza ukavunjika kidole tu na maisha yakaendelea. Ili ufe lazima kifo kitokee. Kilichomuua huyo msanii ni kifo, sio ajali ya gari

????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sina uhakika kama hizi picha zipo hapa jamvini, kama zitakuwepo basi Mods mnaweza unganisha

390328_172001262941773_1626460190_n.jpg


252283_172000949608471_2058031321_n.jpg


30372_171998639608702_2102846982_n.jpg
 
Wote tunafahamu ni ajali ya gari. Swali langu je ni alikuwa peke yake, alikuwa amelewa , speed kali, au ubovu wa barabara, ubovu wa gari , au hakuwa na uzoefu na driving. Sina maana mbaya maana kila inapotokea msiba pamoja na majonzi pia watu wanajifunza......R.I.P .

Possibly hakuwa na uzoefu hivyo hakuchukua precautions kama vile: nati za matairi zimekaza vizuri, tairi imejazwa upepo chini kidogo ya kiwango cha gari (soma upande wa dereva - kwenye nguzo ya mlango upande wa lock), tairi zinaendana na climate au weather ya Bongo, alisimama sehemu kwa dakika kama 45 baada ya kutembea 200km, tairi ilikuwa sio kipara, tairi ilikuwa haijaisha muda wake.

Kungekuwa na 'black box' tungepata majibu ya baadhi ya maswali.
 
Si nimesikia la kuazima dah gar mtu wote kwisha R.I.P sharo
 
Kuna haja ya wasanii kuwa na medereva hasa kwa safari ndefu. Unajua dereva yeye ni proffesional katika kazi hiyo hii itasaidia sana ajali zisizo za lazima.
 
Unajua na utoto! Ujana! ubishoo! etc. Tena kama ni automatic, which is very much likely to be so, hauhitaji kuwa dereva!????? Nawaona akina mama/baba wanaendesha leo leo hii toka dukani. Lakini na yote RIP.

Cha kujifunza ni kwamba huyu jamaa hakuwa amefunga mkanda. Vijana wa kileo wanafunga mkanda pale anapoona traffic police wapo mbele, hawajui kwamba mkanda ni mwokozi namba moja endapo gari litapinduka. Huyu kijana alikuwa hakufunga mkanda ndio maana alitupwa nje ya gari. Inawezekana angekuwa amefunga mkanda, asingekutana na umauti.

Jamani tujifunze kufunga mikanda hata kama ni kwa safari fupi tu, ajali haiagi na haina kinga vile vile!!!!

Tiba
 
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!
 
COURTESY NDIO MAANA NIKASEMA HUWEZI PATA JIBU SABABU ALIKUWA MWENYEWE.
hapap tutajadili lakini hakuna mwenye ukweli wa kilichotokea
 
Last edited by a moderator:
Eneo ni kama lilikuwa na mteremko na ilikuwa usiku nadhani possibly 7bu inaweza kuwa speed na lack of concentration barabarani
 
So bad Ila na barabara zetu nazo ziko tu ovy hakuna signs!! na ni nyembamba!! na sie madereva sheria na weledi ni mdogo!! i.e kama marehemu aliweza kupeleka text saa 2 usiku ina maana he was driving!! SIMU SIMU !! NI SUMU JAMANI Zitatumaliza. Juzi juzi nilikuwa njiani kuelekea mbeya pale mikumi kulikuwa na lori limeingia kwa nyma lori lingine likiwa na shehena ya mbao na lilikwa limepaki!! tuliambiwa dereva alikuwa na katika kutext mara hamad lori hili alidhani latembea kumbe limesimama!! alipona ila utingo wake!!!
 
Hapa kama kuna mtu aliomba lifti akakataliwa then akiiona hii gari nae anakufa.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom