grey
Senior Member
- Apr 21, 2010
- 159
- 45
Mbona unahukumu mkuu?
Kwahyo ww ni unaishi maisha matakatifu yasiyo na dhambi?
Coz wht i knw,cc ni wadhambi ila tunaishi kwa neema 2,that means,hata ww kuepushwa na majangasio kwamba una mcha Mungu!ni neema 2
Ndo maana biblia inasema 'bwana km ungehesabu makosa yetu nani angesimama'...meaning hakuna aliye msafi bt glory to God tuliletewa Jesus!
Pia kumbuka unamuongelea hapa ni muslim(imani tofauti)
Usihukum
Mimi sija hukumu mtu hapa, ninachosema ni kwamba tumrudie Mungu sis watu ili tuwe na amani na tuishi. Ni kweli kabisa tunaishi kwa neema tu. wala sio kwa ujanja wetu wala choice. Pia sio vifo vyote Bwana ametwaa. hapana vingine ni shetani. Bwana Mungu hafurahii sisi tunapoptwa na mabaya. Asili ya mabaya yote ni dhambi.
Maneno niliyo andika si yangu bali ni Neno, so kama unaona yanahukumu basi ni neno ndilolinafanya hivyo a sio mimi. Ni kweli tunaishi katika mazingira ya dhambi na ubinadamu ni ubatili, lakini tunapaswa kutubu kila wakati. Hakuna ukamilifu, ila tunaufikia kwa neema tu.
Wito wangu ni tumrudie Mungu wa kweli ili tuishi... maana dunia na mambo yake vinapita...