TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

Mbona unahukumu mkuu?
Kwahyo ww ni unaishi maisha matakatifu yasiyo na dhambi?
Coz wht i knw,cc ni wadhambi ila tunaishi kwa neema 2,that means,hata ww kuepushwa na majangasio kwamba una mcha Mungu!ni neema 2
Ndo maana biblia inasema 'bwana km ungehesabu makosa yetu nani angesimama'...meaning hakuna aliye msafi bt glory to God tuliletewa Jesus!
Pia kumbuka unamuongelea hapa ni muslim(imani tofauti)
Usihukum

Mimi sija hukumu mtu hapa, ninachosema ni kwamba tumrudie Mungu sis watu ili tuwe na amani na tuishi. Ni kweli kabisa tunaishi kwa neema tu. wala sio kwa ujanja wetu wala choice. Pia sio vifo vyote Bwana ametwaa. hapana vingine ni shetani. Bwana Mungu hafurahii sisi tunapoptwa na mabaya. Asili ya mabaya yote ni dhambi.

Maneno niliyo andika si yangu bali ni Neno, so kama unaona yanahukumu basi ni neno ndilolinafanya hivyo a sio mimi. Ni kweli tunaishi katika mazingira ya dhambi na ubinadamu ni ubatili, lakini tunapaswa kutubu kila wakati. Hakuna ukamilifu, ila tunaufikia kwa neema tu.

Wito wangu ni tumrudie Mungu wa kweli ili tuishi... maana dunia na mambo yake vinapita...
 
nini kilisababisha kifo?
ninavyoelewa kifo hakimuui mtu ila kitu kingine husababisha kifo kwa mtu. majibu mengine bwana ...

Kilichosababisha kifo ni ajali labda tusubiri kujua kilichosababisha ajali.
 
Mungu anatupa nafasi nyingine kumuona jinsi anavyoweza kutenda mambo yake,ajali hii ni somo tosha kwetu sote ambao tunawekeza sana hapa duniani kuliko kwake yeye aliyetupa uhai,Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi,Amina

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!

hahahah si ajabu anatafuta spare au chuma chakavu...

Jamani ndivyo watu wa shamba tulivyo. Msituangalie kwa nje na kutujaji, tumepigika kimaisha sana bila kupenda wenyewe.

Tunangalieni utu wetu, ni watu wema sana na wa msaada wakati wa shida.
 
Sina uhakika kama hizi picha zipo hapa jamvini, kama zitakuwepo basi Mods mnaweza unganisha

390328_172001262941773_1626460190_n.jpg


252283_172000949608471_2058031321_n.jpg


RIP Sharo
 
Jamani ndivyo watu wa shamba tulivyo. Msituangalie kwa nje na kutujaji, tumepigika kimaisha sana bila kupenda wenyewe.

Tunangalieni utu wetu, ni watu wema sana na wa msaada wakati wa shida.

Hii sentensi ingekua na maana sana kama marehemu asingekwapuliwa vitu vyake pindi tu alipopata ajali...
 
Oh Maamaa R I P! Jamani siku ikifika imefika bila kujaali ni style gani ya kifo! Tumwombee akae mahala pema peponi
 
Tatizo kubwa ni kukiuka sheria za barabarani ndo chanzo cha maafa yote haya!!Pili hizi simu pana kuandika msg lazima utumie mikono miwili lazima zikufanyie kitu!
 
aiseeeeeee babaangu sharo nadhani alikuwa 180 au 160 sina uhakika lakini
 
Halafu jamaa hakufunga
mkanda,pengine angefunga uwezekano wa kuwa hai ungekuwepo,mikanda muhimu
jamani,tusifunge kwa kuhofia trafiki tu,ni salama yetu pia.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Excelent!
 
Aisee. Ni gari aina gani hii sasa? Manake imeharibika jumlajumla.
 
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!
Mkuu uyo ni mwenyekiti wa kijiji na alihojiwa na star tv, umemkosea heshima mkuu.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Picha ya tatu,huyo jamaa inaonyesha amekata tamaa na maisha na hana matumaini hawa ndiyo wapolaji wenyewe!!!

Please, niombe samahani huyo ni Sheji yangu anaitwa Bw Shehoza, alinipigia simu kwamba alikuwa juu ya mnazi anagema mnazi na alishuhudia kulakitu.
 
Back
Top Bottom