gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kama unajua sheria zipo si uzifuate huko ziliko mkuuWeka sheria hapa.
Unayetoa claim ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha.
Kama unajua sheria zipo si uzifuate huko ziliko mkuuWeka sheria hapa.
Unayetoa claim ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha.
Wapi nimesema najua sheria hii ipo?Kama unajua sheria zipo si uzifuate huko ziliko mkuu
Makanisa na misikiti yote ipingwe hapa TanzaniaSio cheti tu makanisa yanapaswa kulipa kodi , hiyo biashara yao inainyima serikali mapato makubwa sana.
Bora misikitiki imeweka mikakati ya kutochezewa mapema ila nyie mnaomin Mungu ana uwezo wa kila kitu mnachezewa kama toilets papersMakanisa na misikiti yote ipingwe hapa Tanzania
Keyword 'zipo'Wapi nimesema najua sheria hii ipo?
Taasis za kidini hazitambuliki kama biashara kisheria. Itabidi serikal waandike sheria upya , which wote tunajua wont happenSio cheti tu makanisa yanapaswa kulipa kodi , hiyo biashara yao inainyima serikali mapato makubwa sana.
Misikiti haichezewi, na wale majini wanaoshinda huko misikitini je?Bora misikitiki imeweka mikakati ya kutochezewa mapema ila nyie mnaomin Mungu ana uwezo wa kila kitu mnachezewa kama toilets papers
Ziweke hapa.Keyword 'zipo'
ongezea na misikiti hapoSio cheti tu makanisa yanapaswa kulipa kodi , hiyo biashara yao inainyima serikali mapato makubwa sana.
Ndiyo maana nlikwambia zifuate kwenye wizara husikaZiweke hapa.
Anayesema jambo ndiye mwenye wajibu wa kulithibitisha.Ndiyo maana nlikwambia zifuate kwenye wizara husika