Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Kama huoni tofauti hiyo basi huna akili. Chadema ndio chama kikuu cha upinzani na ndio imara kupambana na udhalimu. Bila kushiriki makubaliano yeyote basi hayo makubaliano ni hila tuuKama Chadema ndo wangeenda Ikulu ingekuwa sawa lkn wameenda hawa wa vyama vingine imekuwa nongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna point unaimiss, iko hivi, Magufuli anajua UKAWA ukiwepo wapinzani wataachiana majimbo, hivyo upinzani kushinda itakuwa rahisi zaidi, sasa Magufuli alichofanya ni kuwaruhusu hao kina Mbatia na wenzake kusimamisha wagombea nchi nzima ili wao wapinzani wagawane kura hivyo CCM ishinde kirahisi, but sio kwamba hao kina Mbatia wataachiwa majimbo washinde kirahisi, NO. wanatumika tu.Unayo ongea ni ukweli kabisa bila hata kuambiwa kama unaakili utajua kabisa kuo ilo ndio game linalo enda kuchezwa acha nisema rip kwa chadema atae bisha atakua hajui kuchambua mambo yani ngoma inaenda kupingwa juu chin chadema lazima iminywe alafu vyama vingine vinapandishwa bai Bai ruzuku msishangae mboe kuunga juhud mda si mrefu sio mbowe tu hata baadh ya wabunge wengine watakao hofia kukosa kurud bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na mleta mada kwa 95% bado jambo moja tu nasubiri kuli pruv, likitokea na hilo nitamuamini mleta mada kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhakika, kukiondolea mzigo wa 'UKAWA" ni baraka kwa CHADEMA, sioni kwa nini walitegemee hilo ambalo ni mzigo mzito kwao.CDM ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Pia kuna swala la wao kuanzia sasa kuto kusumbuliwa iwe na Wakuu wa wilaya au Mikoa au Polisi.Hivyo usitarajie kuona either Lipumba au Mbatia au Zitto Kabwe akisumbuliwa kuanzia sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
The golden question is;
Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....
Who benefits from that arrangement and how?.
tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili
Na pia wamekubaliana kugawana nyara, mfano kuna madiwani wa Chadema huko Mbeya wamenunuliwa na CCM na wanapelekwa NCCR na Mbatia ndiye anawapokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmetafuta kilichozungumzwa Ikulu mmekikosa sasa mnaanza kutulisha matango pori. Watanzania kwa umbea mko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Ni tetesi, ila ingewezekana Ni vizuri waweke wazi kwa umma..walichozungumza....
Wazushi haoThe golden question is;
Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....
Who benefits from that arrangement and how?.
tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili
Hizo 'keyboard' ndizo silaha pekee walizonazo kwa sasa.Nyuma ya keyboard watu huwa na ujasiri sana. The real man isn't existent in real life except a hypothetical and hypocritical shadowy being gimmicking nyuma ya PC au simu.
Sent using Jamii Forums mobile app