Atakuwa yakwake alishayasema siku ile walipokutana Mwanza. Hakuwa na sababu tena kwenda waonane.Ahaa alienda kuonana na mkulu kimya kimya sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa yakwake alishayasema siku ile walipokutana Mwanza. Hakuwa na sababu tena kwenda waonane.Ahaa alienda kuonana na mkulu kimya kimya sio
Hizo ni fitna zako tu kama ni kweli basi tutapata 'straight from the horses' mouth'Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja wamepewa na anaamini ni wote,
Shariti kuu walilo pewa ni kuachana kitu kinacho itwa UKAWA, yaani ili kuwe na unafuu kwa hivyo vyama waachane na miungano hasa na CHADEMA.
Walisisitiziwa hasa kwenye Swala la kuachiana majimba ya Ubunge na Udiwani, kila Chama kisimamishe wagombea nchi nzima kwa Udowani na Ubunge.
Wamehakikishiwa msaada wa kuwawezesha kusimika wagombea nchi nzima, haijawekwa wazi ni aina gani ya msaada watakao pewa.
Kwa NCCR Mageuzi tiyari kazi isha anza na Mbatia atazunguka nchi nzima kwa Kazi hiyo na muda wowote Lipumba naye ataanza na kufuatiwa na ACT Wazalendo.
Ndo maana jana tukaona Mbatia anasema ataweka wagombea nchi nzima na pia Lipunba alisha weka wazi hilo na muda si mrefu ACT nao wataweka wazi hilo.
Hivyo swala la kwamba wamezungumzia Uchaguzi huru na wa haki ni kijisehemu tu.
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
CHADEMA ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Mjumbe hauwawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
The golden question is;
Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....
Who benefits from that arrangement and how?.
tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili
This is speculation. Mbona Mbatia leo amezuiwa kufanya mkutano wa ndani wilayani Busokelo?The golden question is;
Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....
Who benefits from that arrangement and how?.
tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili
kumbe tatizo ni CHADEMAChadema ndiyo wapinzani wa kweli
Seriously!!???The golden question is;
Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....
Who benefits from that arrangement and how?.
tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili