Na Mbowe akienda tu ikundo utaprovNakubaliana na mleta mada kwa 95% bado jambo moja tu nasubiri kuli pruv, likitokea na hilo nitamuamini mleta mada kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mbowe akienda tu ikundo utaprovNakubaliana na mleta mada kwa 95% bado jambo moja tu nasubiri kuli pruv, likitokea na hilo nitamuamini mleta mada kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Mku soma hapo juu unaambiwa Mbowe alishaenda siku kuu ya Uhuru MwanzaYaani haki za watu za kikatiba zinapokwa mchana kweupe huku wapokwaji wakihalalisha haki zao za msingi kupokwa
Kimsingi lilozungumzwa haikutakiwa kuwa siri kama nia ilikuww njema. Ona sasa wameshaweka mwanya kwa ma speculatorsMURUSI, Mmetafuta kilichozungumzwa Ikulu mmekikosa sasa mnaanza kutulisha matango pori. Watanzania kwa umbea mko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja wamepewa na anaamini ni wote,
Shariti kuu walilo pewa ni kuachana kitu kinacho itwa UKAWA, yaani ili kuwe na unafuu kwa hivyo vyama waachane na miungano hasa na CHADEMA.
Walisisitiziwa hasa kwenye Swala la kuachiana majimba ya Ubunge na Udiwani, kila Chama kisimamishe wagombea nchi nzima kwa Udowani na Ubunge.
Wamehakikishiwa msaada wa kuwawezesha kusimika wagombea nchi nzima, haijawekwa wazi ni aina gani ya msaada watakao pewa.
Kwa NCCR Mageuzi tiyari kazi isha anza na Mbatia atazunguka nchi nzima kwa Kazi hiyo na muda wowote Lipumba naye ataanza na kufuatiwa na ACT Wazalendo.
Ndo maana jana tukaona Mbatia anasema ataweka wagombea nchi nzima na pia Lipunba alisha weka wazi hilo na muda si mrefu ACT nao wataweka wazi hilo.
Hivyo swala la kwamba wamezungumzia Uchaguzi huru na wa haki ni kijisehemu tu.
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
CHADEMA ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Mjumbe hauwawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa alienda kuonana na mkulu kimya kimya sioMku soma hapo juu unaambiwa Mbowe alishaenda siku kuu ya Uhuru Mwanza
Hivi ulishawahi kumuamini Zitto, toka yupo chadema ulishawahi ona anapata misukosuko?Hata Zitto nae anasaliti Tena? Aaaaaah jamani Sasa tumuamini Nani?
Tuletee basi kilichozungumzwa wewe ambacho sio umbea, maana hoja hupingwa kwa hojaMURUSI, Mmetafuta kilichozungumzwa Ikulu mmekikosa sasa mnaanza kutulisha matango pori. Watanzania kwa umbea mko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamini Bashiru!Hata Zitto nae anasaliti Tena? Aaaaaah jamani Sasa tumuamini Nani?
aka rushwa.Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja wamepewa na anaamini ni wote,
Shariti kuu walilo pewa ni kuachana kitu kinacho itwa UKAWA, yaani ili kuwe na unafuu kwa hivyo vyama waachane na miungano hasa na CHADEMA.
Walisisitiziwa hasa kwenye Swala la kuachiana majimba ya Ubunge na Udiwani, kila Chama kisimamishe wagombea nchi nzima kwa Udowani na Ubunge.
Wamehakikishiwa msaada wa kuwawezesha kusimika wagombea nchi nzima, haijawekwa wazi ni aina gani ya msaada watakao pewa.
Kwa NCCR Mageuzi tiyari kazi isha anza na Mbatia atazunguka nchi nzima kwa Kazi hiyo na muda wowote Lipumba naye ataanza na kufuatiwa na ACT Wazalendo.
Ndo maana jana tukaona Mbatia anasema ataweka wagombea nchi nzima na pia Lipunba alisha weka wazi hilo na muda si mrefu ACT nao wataweka wazi hilo.
Hivyo swala la kwamba wamezungumzia Uchaguzi huru na wa haki ni kijisehemu tu.
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
CHADEMA ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Mjumbe hauwawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Ni tetesi, ila ingewezekana Ni vizuri waweke wazi kwa umma..walichozungumza....
Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja wamepewa na anaamini ni wote,
Shariti kuu walilo pewa ni kuachana kitu kinacho itwa UKAWA, yaani ili kuwe na unafuu kwa hivyo vyama waachane na miungano hasa na CHADEMA.
Walisisitiziwa hasa kwenye Swala la kuachiana majimba ya Ubunge na Udiwani, kila Chama kisimamishe wagombea nchi nzima kwa Udowani na Ubunge.
Wamehakikishiwa msaada wa kuwawezesha kusimika wagombea nchi nzima, haijawekwa wazi ni aina gani ya msaada watakao pewa.
Kwa NCCR Mageuzi tiyari kazi isha anza na Mbatia atazunguka nchi nzima kwa Kazi hiyo na muda wowote Lipumba naye ataanza na kufuatiwa na ACT Wazalendo.
Ndo maana jana tukaona Mbatia anasema ataweka wagombea nchi nzima na pia Lipunba alisha weka wazi hilo na muda si mrefu ACT nao wataweka wazi hilo.
Hivyo swala la kwamba wamezungumzia Uchaguzi huru na wa haki ni kijisehemu tu.
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
CHADEMA ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Mjumbe hauwawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipumba, Seif, Zitto na Mbatia wajue tu kwamba mpinzani yeyote kati yao ambaye HATAONGELEA MADAI YA TUME HURU YA UCHAGUZI, huyo atakuwa ni msaliti na kwa hakika hasira cha Wananchi zitamrudi kupitia sanduku la kura.
Atakwambia usubiri baada ya uchaguzi sijui kama ww ni mvumilivu kiasi hicho.Tuletee basi kilichozungumzwa wewe ambacho sio umbea, maana hoja hupingwa kwa hoja
Tumshukuru Mwenyezi Mungu, hawa WACHUMIA TUMBO wameanza kujidhihirisha mapema kabla ya uchaguzi.