Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Propaganda at work
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!...Na pia wamekubaliana kugawana nyara, mfano kuna madiwani wa Chadema huko Mbeya wamenunuliwa na CCM na wanapelekwa NCCR na Mbatia ndiye anawapokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachambuzi wa maswala ya kisiasa na waandishi wa habari hawajajuwa kipi hasa wamejadiliana zaidi ya kusema nadhani itakuwa.... lazima kuna siri hapo ktk maongezi.ningekuwa mimi ningesema yote ili kuwaweka huru wanachama wangu.zitto ulimtuma seif akaongee na magu ambaye ulisikika ukisema huyu ni wa kwenda naye jino kwa jino hakuna haja ya maridhiano,sa vipi tena?
Mkuu ikitokea hii kuwa ni kweli na wakaachana na UKAWA kwa mapendekezo ya mwenyekiti wa chama tawala, hii itakuwa ajabu/ujinga/uzwazwa/uchizi wa aina yake. Silitarajii hilo kutokea.Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja wamepewa na anaamini ni wote,
Shariti kuu walilo pewa ni kuachana kitu kinacho itwa UKAWA, yaani ili kuwe na unafuu kwa hivyo vyama waachane na miungano hasa na CHADEMA.
Walisisitiziwa hasa kwenye Swala la kuachiana majimba ya Ubunge na Udiwani, kila Chama kisimamishe wagombea nchi nzima kwa Udowani na Ubunge.
Wamehakikishiwa msaada wa kuwawezesha kusimika wagombea nchi nzima, haijawekwa wazi ni aina gani ya msaada watakao pewa.
Kwa NCCR Mageuzi tiyari kazi isha anza na Mbatia atazunguka nchi nzima kwa Kazi hiyo na muda wowote Lipumba naye ataanza na kufuatiwa na ACT Wazalendo.
Ndo maana jana tukaona Mbatia anasema ataweka wagombea nchi nzima na pia Lipunba alisha weka wazi hilo na muda si mrefu ACT nao wataweka wazi hilo.
Hivyo swala la kwamba wamezungumzia Uchaguzi huru na wa haki ni kijisehemu tu.
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
CHADEMA ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Mjumbe hauwawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe endelea kupanick majibu yakija upanick piaWajinga hamuoneshi dalili zakupungua nani kakwambia chama kinanusuliwa na Mungu! acheni kutumia bunduki kuzuia wenzenu kufanya siasa kisha tukutane kwenye sanduku la Kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishawazoea wapiga ramli nyie.Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja wamepewa na anaamini ni wote,
Shariti kuu walilo pewa ni kuachana kitu kinacho itwa UKAWA, yaani ili kuwe na unafuu kwa hivyo vyama waachane na miungano hasa na CHADEMA.
Walisisitiziwa hasa kwenye Swala la kuachiana majimba ya Ubunge na Udiwani, kila Chama kisimamishe wagombea nchi nzima kwa Udowani na Ubunge.
Wamehakikishiwa msaada wa kuwawezesha kusimika wagombea nchi nzima, haijawekwa wazi ni aina gani ya msaada watakao pewa.
Kwa NCCR Mageuzi tiyari kazi isha anza na Mbatia atazunguka nchi nzima kwa Kazi hiyo na muda wowote Lipumba naye ataanza na kufuatiwa na ACT Wazalendo.
Ndo maana jana tukaona Mbatia anasema ataweka wagombea nchi nzima na pia Lipunba alisha weka wazi hilo na muda si mrefu ACT nao wataweka wazi hilo.
Hivyo swala la kwamba wamezungumzia Uchaguzi huru na wa haki ni kijisehemu tu.
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
CHADEMA ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Mjumbe hauwawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishawazoea wapiga ramli nyie.
Badilini gia angani tena Membe huyo anautaka urais na anajiamini kama Shetani
Kwahyo wew sikuzote hizi Ulikuwa unamuamini Zitto?Fikiria tu mambo amabayo Zitto anayafanya nchi hii yani wangekuwa wale akina mbowe na watu wake basi mambo yangekuwa magumu sana bt huyu jamaaa anadunda hana hata wasi so ndo ujue ni mwenzao.Piga kazi upate pesa ujenge familia siasa ya hii nchi ni ngumi sana.Hata Zitto nae anasaliti Tena? Aaaaaah jamani Sasa tumuamini Nani?
The golden question is;
Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....
Who benefits from that arrangement and how?.
tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili
Siku hizi kila mtu JF ana mtu anayemuamini ikulu, Usalama wa taifa, jeshini, makao makuu ya polisi kasoro mimi tu.Kuna jamaa ninae muamini kabisa na ni kiongozi kutoka moja ya Chama ambacho viongozi wao alikuwa ikulu Jana amenieleza ukiachana na mambo ya auchaguzi kuwa huru na wa haki kuna Shariti moja wamepewa na anaamini ni wote,
Shariti kuu walilo pewa ni kuachana kitu kinacho itwa UKAWA, yaani ili kuwe na unafuu kwa hivyo vyama waachane na miungano hasa na CHADEMA.
Walisisitiziwa hasa kwenye Swala la kuachiana majimba ya Ubunge na Udiwani, kila Chama kisimamishe wagombea nchi nzima kwa Udowani na Ubunge.
Wamehakikishiwa msaada wa kuwawezesha kusimika wagombea nchi nzima, haijawekwa wazi ni aina gani ya msaada watakao pewa.
Kwa NCCR Mageuzi tiyari kazi isha anza na Mbatia atazunguka nchi nzima kwa Kazi hiyo na muda wowote Lipumba naye ataanza na kufuatiwa na ACT Wazalendo.
Ndo maana jana tukaona Mbatia anasema ataweka wagombea nchi nzima na pia Lipunba alisha weka wazi hilo na muda si mrefu ACT nao wataweka wazi hilo.
Hivyo swala la kwamba wamezungumzia Uchaguzi huru na wa haki ni kijisehemu tu.
Hao ndo wapinzani wetu wakiongzozwa na Zitto Zuber Kabwe.
CHADEMA ijiandae na iandae Wagombea wenye nvuto hasa make mwaka huu kuna vyama vitawezeshwa kusimika wagombea nchi nzima.
Mjumbe hauwawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mtupu yani ili uonekane mpinzani tanzania lazima ufuate wanachofanya CHADEMA ukienda tofauti basi we msaliti.Kama Chadema ndo wangeenda Ikulu ingekuwa sawa lkn wameenda hawa wa vyama vingine imekuwa nongwa
Sent using Jamii Forums mobile app