Tetesi: Sharti Moja kubwa waliopewa viongozi waliofika Ikulu ni hili hapa

Mbowe alimuomba mheshimiwa raisi afanye maridhiano na wapinzani, na maridhiano yameanza, tunaanza kulalamika, sasa sijui lipi jema, au angeanza kwenda Mbowe ndo tungetambua kwamba maridhiano yameanza? Kwa nini tunalalamika wakati hatujui mpango mzima wa rais? Hivi kesho Mbowe akienda kwenye maridhiano aliyoyaomba tutamwita msaliti pia?
 
Uko nje ya Mada

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushaidi ,hacha propaganda,kila siku Chadema mnalalamika kuonewa tu mpk wananchi wamewachoka.
Chadema haina tofauti na timu iliyouza wachezaji wake wote bora harafu bdo ina matumaini ya vikombe.

Mi naona Mbowe hana mipango kilichobaki utasikia naye anatangaza kuunga mkono juhudi za JPM mda si mrefu atatangazwa pale Lumumba.

Baada ya kuondokewa na wanasiasa wake machachali Chadema ilitakiwa kuingia mtaani kusaka vipaji vipya,ninachokiona Mbowe kasha give up na chama ila hataki kupoteza ruzuku.
 
Na wananchi tayari washapata muarobaini wa hao watu ambao ni kuwasusia kwani ni wachumia tumbo
Pia kuna swala la wao kuanzia sasa kuto kusumbuliwa iwe na Wakuu wa wilaya au Mikoa au Polisi.Hivyo usitarajie kuona either Lipumba au Mbatia au Zitto Kabwe akisumbuliwa kuanzia sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Jibu ni rahisi sana.... Hao viongozi hawana nia thabiti ya kuongoza upinzani kuchukua madaraka bali wao wanapigania matumbo yao tu.
The golden question is;

Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....

Who benefits from that arrangement and how?.

tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili

In God we Trust
 
Wapinzani wa kweli tutapambana kivyetu maana kwa sasa hakuna kuaminiana tena na Lipumba na wenzake kina Zitto
Kuna kitu inaonekana Magu anakihofia sasa ni kitu gani hakuna anaye jua, alicho niambia kwa sasa wanaadaa ratiba zao za kuzunguka nchi nzima kwa ajili ya kuandaa wagombea wa Udiwani na Ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Huo ndiyo ukweli na kama kawaida yake cdm tayari ilisha jitune kuwa ni mtoto yatima.
Naona chama kimoja tu cha upinzani kikisimama baada ya uchaguzi wa mwaka huu!CDM pekee ndiyo itabaki hai!

In God we Trust
 
Kaka tunaenda kwenye uchaguz ombea mungu akinusuru chama chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chadema ya kukata mishahara ya wabunge kisha kuliwa na mwenyekiti na kundi lake.
ipate wapi wagombea wenye mnvuto? MURUSI,
 
Hawa wameashidiwa kupewa tuvyeo na hivyo kuivuruga CDM. CDM kuweni makini sana na hawa vibaraka
 
Chanzo chako cha habari kina usahihi wa 100%ndo maana una msikia chalamila anasema atampa ulinzi mh mbatia,hii inaitwa dividing rule!!pia kuwa ridhisha wa hisani wetu kuwa tuna choitwa uchaguzi huru na wenye ushindani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…