Tetesi: Sharti Moja kubwa waliopewa viongozi waliofika Ikulu ni hili hapa

Wachambuzi wa maswala ya kisiasa na waandishi wa habari hawajajuwa kipi hasa wamejadiliana zaidi ya kusema nadhani itakuwa.... lazima kuna siri hapo ktk maongezi.ningekuwa mimi ningesema yote ili kuwaweka huru wanachama wangu.zitto ulimtuma seif akaongee na magu ambaye ulisikika ukisema huyu ni wa kwenda naye jino kwa jino hakuna haja ya maridhiano,sa vipi tena?
 
Zitto ni mjanja mjanja sana pale kamtuma Seif ili aonekane sio yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ikitokea hii kuwa ni kweli na wakaachana na UKAWA kwa mapendekezo ya mwenyekiti wa chama tawala, hii itakuwa ajabu/ujinga/uzwazwa/uchizi wa aina yake. Silitarajii hilo kutokea.
 
Tulishawazoea wapiga ramli nyie.

Badilini gia angani tena Membe huyo anautaka urais na anajiamini kama Shetani
 
Hata Zitto nae anasaliti Tena? Aaaaaah jamani Sasa tumuamini Nani?
Kwahyo wew sikuzote hizi Ulikuwa unamuamini Zitto?Fikiria tu mambo amabayo Zitto anayafanya nchi hii yani wangekuwa wale akina mbowe na watu wake basi mambo yangekuwa magumu sana bt huyu jamaaa anadunda hana hata wasi so ndo ujue ni mwenzao.Piga kazi upate pesa ujenge familia siasa ya hii nchi ni ngumi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha wao kwenda ikulu kila mtu anaijua hawataki muungano wa Ukawa

Anatokea mtu anajifanya mpiga ramli ili baadae aje aseme alisema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chamsingi uchaguzi uwe huru, tume huru ipatikane, CHADEMA hata ikiwa peke yake pamoja na wananchi CCM na mawakala wake watapigwa tu.
 
The golden question is;

Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....

Who benefits from that arrangement and how?.

tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili

Nadhani nia ni kuendelea kuwa madarakani huku waki manage international pressure kuonyesha ushiriki wa wapinzani kwenye uchaguzi na kuonyesha uko huru na haki. Mwelekeo huu si jambo jipya Afrika. Ulitumiwa sana na Mabutu huko Zaire kwa yeye kuwana control na vyama karibu vyote vya upinzani. Hiyo lakini haikuweza kuua upinzani japo ilidumu miakamingi ila mwishoni ilipelekea kuondolewa Mabutu madarakani kwa nguvu za kijeshi.
 
Divide and Rule - the policy of maintaining control over one's subordinates or opponents by encouraging dissent between them, thereby preventing them from uniting in opposition.

CCM janja ya nyani sana. 😆
 
Siku hizi kila mtu JF ana mtu anayemuamini ikulu, Usalama wa taifa, jeshini, makao makuu ya polisi kasoro mimi tu.
Kweli nimeamini mjini usipokuwa na address basi hupati mtu unayemuamini
 
Kama Chadema ndo wangeenda Ikulu ingekuwa sawa lkn wameenda hawa wa vyama vingine imekuwa nongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mtupu yani ili uonekane mpinzani tanzania lazima ufuate wanachofanya CHADEMA ukienda tofauti basi we msaliti.
Ebu fikiria kipindi cha sherehe za uhuru ingelikwua ni Zitto katimba pale Mwanza ambavyo angeshambuliwa...
 
Yaani haki za watu za kikatiba zinapokwa mchana kweupe huku wapokwaji wakihalalisha haki zao za msingi kupokwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…