Tetesi: Sharti Moja kubwa waliopewa viongozi waliofika Ikulu ni hili hapa

Hizo ni fitna zako tu kama ni kweli basi tutapata 'straight from the horses' mouth'
 
Kuwa mpenz mtazamaji sio Kila kitu unataka kuhoji, sabab hata ukijali huna lolote utakalofanya
The golden question is;

Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....

Who benefits from that arrangement and how?.

tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wandugu UKAWA ni nini???? Na ilikuwa na lengo gani??? Nijuavyo mimi UKAWA ilikuwa ni UMOJA KUDAI KATIBA WA WANANCHI, na haikuwa kwa sababu za uchaguzi. Tukatae tukubali wapinzani wote ni wabinafsi si chadema wala cut wala nccr. Ndiyo hapo Ccm inapochukulia point. Kwa swala la kusema eti kuachana na ukawa hii so called UKAWA ilishajifia siku nyingi sana, ll
USHAURI:
Tukitaka kuitoa CCM madarakani ni kuwa na taasisi imara za vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake waweke ubinafsi pembeni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The golden question is;

Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....

Who benefits from that arrangement and how?.

tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili
This is speculation. Mbona Mbatia leo amezuiwa kufanya mkutano wa ndani wilayani Busokelo?
 
Tunahitaji upinzani ulio msafi, sio upinzani wa kupeleka watu msituni wakajifunze mbinu za kivita sio upinzani wa kupewa pesa nje ili uihujumu nchi yako... Kiukweli natamani kuona upinzani wa kujenga hoja kama ule wa hoja ya ufisadi na utakaosaidia uundwaji wa sera bora kwa taifa letu, sio huu wa kutafuta kiki na huruma ya wananchi
 
Chadema ndiyo wapinzani wa kweli
kumbe tatizo ni CHADEMA
walipoomba pooo pale Mwanza walionekana mashujaa
sasa na wenzao wameenda wameonekana wasaliti
Wapinzani wa kweli sijajua maana yake maana katika Demokrasia Bi Hillary Clinton alivyochapwa kura na Trump hakuleta fujo zozote mpaka leo huo ndio Upinzani wa kweli kati ya Demokratic na Republican huko USA
 
The golden question is;

Kwanini waachane na umoja wa Vyama vyao/ UKAWA?....

Who benefits from that arrangement and how?.

tukijaribu kupata majibu hapo labda ndo tunaweza pata picha kamili
Seriously!!???
 
Nazani mmeona Mbati kule Mbeya. Sasa ana Project ya aina hiyo nchi nzima na project yake iko funded kabisa.bado Professor anakuja na ratiba yake na bado ACT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuniambia kwamba Zitto kafanya mutual agreement na CCM kwamba ACT sasa wanapewa Zenji with the condition lazima wafanye kazi na CCM.

Kwa huku bara ACT wajitenge kwa namna zote na CDM..ili CCM ipate kupumua!

Tume huru wanayodai CDM ipingwe vikali na hawa wapinzani ( NCCR ma ACT) ili CDM waondolewe kwenye hoja (reli)...wakose support ya umma..

Chanzo: Mtonyaji nyeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…