Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

Ila nimecheka sana yaani. Lol.

Hapo akila tu vifungo vinatatuka. 😂
 
Hizi ndio style zangu tumbo six pack halafu kifua na mkono kama nimekwenda kwa fundi seremala. Naweka na cologne ile wadada wakinusa kachupi kanaanza kushuka wenyewe.

Ila wale kitambi cha bia msiwe na jealous 🤣🤣
Hivi si ndio wanasemaga sifa jipe mwenyewe Mkuu? 😂
 
We umeona nimemtaja mtu hapo,au nimezungumzia uvaaji?
Me nimesema umemtaja mtu?

Unazungumzia uvaaji wa mtu kama ni sahihi kwa muktadha gani?

Sababu uvaaji ni vile mvaaji anaona inamfaa.
 
Me nimesema umemtaja mtu?

Unazungumzia uvaaji wa mtu kama ni sahihi kwa muktadha gani?

Sababu uvaaji ni vile mvaaji anaona inamfaa.
Hili ni jukwaa la fasheni,ndicho kinachotufanya tujadili uvaaji,unaweza kuvaa suti na sandals ukaona uko sahihi,lakini kwa maana ya fasheni ukawa unachekesha,kwahio ninapozungumzia uvaaji wa mtu hapa ni kwa muktadha wa fasheni.
 
Km ana mwili athletic hilo size yake kabisa.
Unataka avau shati kuubwa km limfuko la mashineni
 
Mwanaume kama unapinga huo uvaaji basi hujitambui bado, ila sisi wataalamu tunawaambia kwamba huo ndo uvaaji wa mtu anaejiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…