Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

Shati kubana mwili namna hii ni sahihi?

Mwanaume kama unapinga huo uvaaji basi hujitambui bado, ila sisi wataalamu tunawaambia kwamba huo ndo uvaaji wa mtu anaejiamini.
Wewe ni mtaalamu wa nini?mtu anaejiamini anatakiwa avaeje?
 
Labda asingevaa na tai akafungua vifungo vya juu na mikono akaikunja naona ingekaa poa. Ila hapo hajatokelezea kabisa.
[emoji3][emoji3],Akikunja na mikono sio ndio itakuwa balaa ofisini
 
Jamaa ana mwili wa tizi ila ndo ivo kakosa mentor wa fashion, hizo shati za mng'ao/za kilokole ni za kitambo sana.

Kijana wa wapi huyo anavaa shati za mng'ao, haoni presenters vijana wenzie wa eatv wanavochapa pamba kali.
 
[emoji3] Labda yeye anaona yuko sawa tu
 
Back
Top Bottom