Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hal
Halipaswi kubana kiasi hiki. Hii ni kukosea heshima mavazi na watazamaji.Wakuu,
Hivi kuvaa shati la kubana kwa kiasi hiki ni fashion sahihi au linapaswa kubana kiasi gani?
Wataalamu wa fasheni mnasemaje Je inapendeza?
Ahsante. View attachment 2668742