Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Halipaswi kubana kiasi hiki. Hii ni kukosea heshima mavazi na watazamaji.Wakuu,
Hivi kuvaa shati la kubana kwa kiasi hiki ni fashion sahihi au linapaswa kubana kiasi gani?
Wataalamu wa fasheni mnasemaje Je inapendeza?
Ahsante. View attachment 2668742
Hawa WATU MARA NYINGI HUWA MCHEKEA.Wakuu,
Hivi kuvaa shati la kubana kwa kiasi hiki ni fashion sahihi au linapaswa kubana kiasi gani?
Wataalamu wa fasheni mnasemaje Je inapendeza?
Ahsante. View attachment 2668742
UVAAJI HUU NI WA WATU MCHEKEA.Hizi ndio style zangu tumbo six pack halafu kifua na mkono kama nimekwenda kwa fundi seremala. Naweka na cologne ile wadada wakinusa kachupi kanaanza kushuka wenyewe.
Ila wale kitambi cha bia msiwe na jealous 🤣🤣
Ma gaShoMchekea ni watu gani?
Achana na kubana, unavaaje shati la kuteleza?
Maadili ya wapi?Wapo wengi mbona mkuu, mfano mzuri we waangalie hata wanawake wenzako wanaovaa nguo mnazosema sio za maadili
ulikua unamana " ili nikuoe mwenzio kuishi au?"izi simu za kupangusa bana 🤣 🤣Ili unioe mate live au?
Meza dawa zako.Maadili ya wapi?
🤣🤣🤣🤣🤭ulikua unamana " ili nikuoe mwenzio kuishi au?"izi simu za kupangusa bana 🤣 🤣
Mgonjwa mbona ni weweMeza dawa zako.