Shauri la uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri kuendelea Mahakama Kuu kuanzia August 10 - 7 Septemba, 2026

Shauri la uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri kuendelea Mahakama Kuu kuanzia August 10 - 7 Septemba, 2026

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam imepanga kufanya kikao cha kusikiliza Shauri la Uhaini Na. 19605/2025 linalomkabili Tundu Lissu kuanzia tarehe 10/08/2026 hadi tarehe 07/09/2026.

Kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kikao hicho, kitafanyika kikao cha awali cha kujadili maandalizi ya usikilizwaji wa shauri hilo. Kikao hiki kitafanyika hapa Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es salaam kwa njia ya mtandao

Soma Pia: Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026 yaahirishwa hadi Julai 6, 2026

HOj9tzDbgAAObQB.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20260731-172905.png
    Screenshot_20260731-172905.png
    185.4 KB · Views: 19
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU
 
YAH: PRE SESSION MEETING

bora wangeandika kwa kizungu tu mwanzo mwisho.

Turudi kaenye mada. Ni jambo jema kuanza kusikilizwa kwa shauri.
 
Ushahidi waliotegemea kuendelea nao umepigwa chini huko mahakama ya rufaa sasa hapo kesi itaendeleaje
 
Back
Top Bottom