Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

..hapana.

..maelezo ya Mnyika yanathibitishwa na ukweli kwamba hakuna kikao kilichowateua kina Halima.
Ndugu hivi kweli majina yawe hayajapelekwa na mtu nec wanatoa wapi ujasili wa kupelwka majina kwa spika usifukirii nao ji wajinga wanapakuanzia kesi inakuja subirini mtaona wanavyoweka Moira kwapani hao chadema
 
Akina Mdee wamejitafutia njia fupi ya kujimaliza kwani kesi hii ndio itakuwa imeishia hapa. Tunachosubiri ni kuiona haki ikitendeka mchana kweupe kabla ya mwisho wa mwaka huu. Mwisho wa yote itabidi wote waliyoshiriki kwenye mchezo wa huu wa aibu waanikwe. Amen.
Hapo anaenda kuaibika ni mnyika na mbowe ndiyo ma engineer wa huu mchezo nyie wengine hamuujui subirini mtaona
 
Ndugu hivi kweli majina yawe hayajapelekwa na mtu nec wanatoa wapi ujasili wa kupelwka majina kwa spika usifukirii nao ji wajinga wanapakuanzia kesi inakuja subirini mtaona wanavyoweka Moira kwapani hao chadema

..Polisi, Usalama, Mahakama, vyote ni mali yao.

..Kwa hiyo wana uwezo wa kufanya jambo lolote bila kuchukuliwa hatua.

..Kama utakumbuka Cecil Mwambe alikuwa mbunge wa Chadema.

..Baadae akaonekana kwenye vyombo vya habari yeye na Mama yake Mzazi wakijiunga na Ccm.

..Cecil Mwambe aliacha kuhudhuria vikao vya bunge akijua kuwa alipata ubunge kupitia Chadema.

..Spika Ndugai aliamua kumuita bungeni Cecil Mwambe na hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa.

..Kama liliwezekana kwa Cecil Mwambe kwanini lishindikane kwa Halima na wenzake?
 
Hapo anaenda kuaibika ni mnyika na mbowe ndiyo ma engineer wa huu mchezo nyie wengine hamuujui subirini mtaona

..Maamuzi ya vyama hufanywa na VIKAO.

..sote tunakubaliana kuwa KAMATI KUU ya chadema haikuteua majina 19 ya viti maalum.

..Kwa msingi huo sote tunaoitakia mema demokrasia yetu tunapaswa kuwalaani na kuwakataa Halima na washirika wao.

..Sidhani kama Ccm inaweza kukubali mwanachama wake aapishwe kuwa mbunge bila ridhaa ya vikao halali vya chama.

..Kwenye suala hili tunapaswa kuweka ushabiki wa vyama pembeni.

.. Tuzingatie siasa safi na haki sawa kwa vyama vyote.
 
..kama ulifuatilia Cecil Mwambe alivyorudishwa bungeni basi utaelewa kina Halima waliingiaje bungeni.
Mbona anakuwa mgumu kuelewa wakati hata Betina alianza kuwatetea covid 19 hata kabla hawajafungua kesi yao?
 
Umeandika kishabiki sana na kwa chuki ya wazi hivi unafikiri wao ni wajinga kiasi Cha kupelwka mahakamani kitu ambacho wanajuwa hawana ushahidi nacho? Hapo kinachotakiwa ni kuangalia majina yalioelekwa na nani ? Aliyesaini barua ya kupelwka majina neck ni nani? Utakuta wamo ndani ya chadema lakini waligeukana baada ya Kila mtu kutaka kuingiza mtu wake na kina mdee wakashtuka ikaenda oridha ileile iliyoandaliwa wanatumia udhaufi wa chama kugombania nafasi hasa mbowe kutaka kuingiza mademu zake
Umeshakuwa mtu mzima porojo za aina hiyo waachie watu wa kijiweji. Akina Mdee watoe nakala za documents zilizosainiwa na CDM. Lakini la kushangaza litakuwa muda wote wakati wanafikishwa Kamati Kuu na baadae sana Baraza Kuu mbona hawakuzitoa ?
 
Back
Top Bottom