Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa...

✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa) kwa mujibu wa ushahidi watakaotoa, basi mahakama itoe amri (hukumu) tatu (3) zifuatazo kuwapendelea wao;

1. Mahakama itengue (ifute) mchakato na uamuzi wa CHADEMA kuwafukuza/kuwafuta uanachama uliofanywa na KK na BK...

2. Mahakama itoe amri ya kuilazimisha CHADEMA kutimiza wajibu wake kisheria wa kuwapa nafasi ya kusikilizwa wakijitetea dhidi ya mashitaka ya tuhuma zao chamani...

3. Mahakama itoe amri kwa Spika wa Bunge la JMT na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutochukua hatua zozote dhidi ya ubunge wao hadi malalamiko yao yatakaposikilizwa...

## Wanasheria mnayaonaje madai ya kina mama hawa katika jicho la kisheria hasa namba 3....?

## Na hivi ni kweli hawa watu hawakupewa nafasi ya kujitetea ili wasikilizwe kabla ya wanachama wenzao kupitia vikao vyao vya KK na BK hawajachukua maamuzi ya kuwafukuza..?

## Uhalali wa ubunge wao unatoka wapi kiasi cha kuudai mahakamani iwapo chama chao hakiwatambui na hakijawahi kushiriki ktk mchakato wa kuwateua kwa kadiri ya sheria na katiba ya JMT inavyotaka..?

## Kwa kigezo hicho hapo juu, ndugu mchangiaji unadhani ni nini itakuwa ni turning point ya kesi hii...?

## Nani atafungua "Pandora Box" la siri ya ubunge wa kina mama hawa? Je, ni CHADEMA? NEC? au Spika wa Bunge Ndugai/Dr Tulia...?

## Ni nani watawakiwa na "JUA KALI" kati ya NEC, BUNGE na CHADEMA wenyewe juu "utata wa ubunge" wa kina mama hawa kiasi cha kusababisha wapoteze uanachama wao ndani ya CHADEMA na kuzua sokomoko hili linaloendelea sasa huku mahakama ikijaribu kusawazisha mambo..?

NOTE:
Vifupisho hivi vinasimama badala ya maneno:

KK = KAMATI KUU..

BK = BARAZA KUU
Hii ni case ya kupuuzwa.

Tusubiri MARIDHIANO ndo ufumbuzi utapatikana.
 
Nusrat Henje alikuwa mfungwa?

Anayeenda kula kiapo ni mbunge mtarajiwa au Katibu mkuu?

..anayekula kiapo ni mbunge mtarajiwa.

..lakini tarehe ambazo bunge wanadai uteuzi ulifanyika zinakinzana na ukweli kwamba Nusrat alikuwa gerezani.

..pamoja na saini ya Katibu Mkuu fomu zinatakiwa zipitie kwa HAKIMU. Uwezekano kwamba Nusrat alifuata taratibu zote haupo.
 
..Msikilize Mnyika hapa chini.

..hawakuthibitishwa na Kamati Kuu.

..Katibu Mkuu hakusaini fomu.

Mambo ya Kamati kuu yenu hayamuhusu Dr Mahera

Yeye anachoangalia ni fomu kuandaliwa na kusainiwa na Katibu mkuu kama sheria inavyoagiza!

Kisha anajiridhisha kama wateule wote Wana sifa za kuwa Wabunge

Kisha huwasilisha orodha hiyo kwa Spika wa bunge kupitia Katibu wa Bunge
 
Hao ni wachumia tumbo waliohonga utu wao na kujiuza wao na akili zao.

Kwa ufupi ni kundi la wajinga waliofugwa bila kujulikana, wamejijulisha wao wenyewe kwa kujiuza mwili na akili zao
Umeandika kishabiki sana na kwa chuki ya wazi hivi unafikiri wao ni wajinga kiasi Cha kupelwka mahakamani kitu ambacho wanajuwa hawana ushahidi nacho? Hapo kinachotakiwa ni kuangalia majina yalioelekwa na nani ? Aliyesaini barua ya kupelwka majina neck ni nani? Utakuta wamo ndani ya chadema lakini waligeukana baada ya Kila mtu kutaka kuingiza mtu wake na kina mdee wakashtuka ikaenda oridha ileile iliyoandaliwa wanatumia udhaufi wa chama kugombania nafasi hasa mbowe kutaka kuingiza mademu zake
 
Mambo ya Kamati kuu yenu hayamuhusu Dr Mahera

Yeye anachoangalia ni fomu kuandaliwa na kusainiwa na Katibu mkuu kama sheria inavyoagiza!

Kisha anajiridhisha kama wateule wote Wana sifa za kuwa Wabunge

Kisha huwasilisha orodha hiyo kwa Spika wa bunge kupitia Katibu wa Bunge

..Sikiliza tena hapa Mnyika akitoa maelezo.

..Ndio maana nakwambia hakukuwa na fomu zozote.

The Palm Beach
 
..anayekula kiapo ni mbunge mtarajiwa.

..lakini tarehe ambazo bunge wanadai uteuzi ulifanyika zinakinzana na ukweli kwamba Nusrat alikuwa gerezani.

..pamoja na saini ya Katibu Mkuu fomu zinatakiwa zipitie kwa HAKIMU. Uwezekano kwamba Nusrat alifuata taratibu zote haupo.
Kwani kula kiapo inachukuwa muda gani bwashee?

Ukiwa rumande huna haki ya kula kiapo?

Kwani kuapa ni lazima uwe kwenye Jengo la Mahakama?

Siku hizi watu wanaapa online bwashee
 
Mambo ya Kamati kuu yenu hayamuhusu Dr Mahera

Yeye anachoangalia ni fomu kuandaliwa na kusainiwa na Katibu mkuu kama sheria inavyoagiza!

Kisha anajiridhisha kama wateule wote Wana sifa za kuwa Wabunge

Kisha huwasilisha orodha hiyo kwa Spika wa bunge kupitia Katibu wa Bunge
Haswaa sasa wao walitaka kuwageuka kina mdee wakati tayari barua Iko tayari hapo mnyika anaenda kujivua nguo mahakamani na huyo angekuwa hajapeleka majina muda mrefu angeahafungua kesi ya nani aliyefiji Saini yake lakini kakaa kimya sasa ngoja mvua inyeshe tuone panapovuja
 
Kwani kula kiapo inachukuwa muda gani bwashee?

Ukiwa rumande huna haki ya kula kiapo?

Kwani kuapa ni lazima uwe kwenye Jengo la Mahakama?

Siku hizi watu wanaapa online bwashee

..sio kwenye suala la ubunge wa viti maalum.

..ndio maana nakwambia hakukuwa na fomu.
 
✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na sheria (katiba yao) ama laa...

✓ Wanasema, mahakama ikiona hawakutendewa haki (utaratibu haukufuatwa) kwa mujibu wa ushahidi watakaotoa, basi mahakama itoe amri (hukumu) tatu (3) zifuatazo kuwapendelea wao;

1. Mahakama itengue (ifute) mchakato na uamuzi wa CHADEMA kuwafukuza/kuwafuta uanachama uliofanywa na KK na BK...

2. Mahakama itoe amri ya kuilazimisha CHADEMA kutimiza wajibu wake kisheria wa kuwapa nafasi ya kusikilizwa wakijitetea dhidi ya mashitaka ya tuhuma zao chamani...

3. Mahakama itoe amri kwa Spika wa Bunge la JMT na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutochukua hatua zozote dhidi ya ubunge wao hadi malalamiko yao yatakaposikilizwa...

## Wanasheria mnayaonaje madai ya kina mama hawa katika jicho la kisheria hasa namba 3....?

## Na hivi ni kweli hawa watu hawakupewa nafasi ya kujitetea ili wasikilizwe kabla ya wanachama wenzao kupitia vikao vyao vya KK na BK hawajachukua maamuzi ya kuwafukuza..?

## Uhalali wa ubunge wao unatoka wapi kiasi cha kuudai mahakamani iwapo chama chao hakiwatambui na hakijawahi kushiriki ktk mchakato wa kuwateua kwa kadiri ya sheria na katiba ya JMT inavyotaka..?

## Kwa kigezo hicho hapo juu, ndugu mchangiaji unadhani ni nini itakuwa ni turning point ya kesi hii...?

## Nani atafungua "Pandora Box" la siri ya ubunge wa kina mama hawa? Je, ni CHADEMA? NEC? au Spika wa Bunge Ndugai/Dr Tulia...?

## Ni nani watawakiwa na "JUA KALI" kati ya NEC, BUNGE na CHADEMA wenyewe juu "utata wa ubunge" wa kina mama hawa kiasi cha kusababisha wapoteze uanachama wao ndani ya CHADEMA na kuzua sokomoko hili linaloendelea sasa huku mahakama ikijaribu kusawazisha mambo..?

NOTE:
Vifupisho hivi vinasimama badala ya maneno:

KK = KAMATI KUU..

BK = BARAZA KUU

Hao ni wahuni
 
## Uhalali wa ubunge wao unatoka wapi kiasi cha kuudai mahakamani iwapo chama chao hakiwatambui na hakijawahi kushiriki ktk mchakato wa kuwateua kwa kadiri ya sheria na katiba ya JMT inavyotaka..?
Akina Mdee wamejitafutia njia fupi ya kujimaliza kwani kesi hii ndio itakuwa imeishia hapa. Tunachosubiri ni kuiona haki ikitendeka mchana kweupe kabla ya mwisho wa mwaka huu. Mwisho wa yote itabidi wote waliyoshiriki kwenye mchezo wa huu wa aibu waanikwe. Amen.
 
..hapana.

..maelezo ya Mnyika yanathibitishwa na ukweli kwamba hakuna kikao kilichowateua kina Halima.
Kwani chaguzi nyingine huwa wanateuliwa na kikao gani?

Nyalandu: Kura zangu zilikuwa nyingi sana kuliko za Tundu Lisu lakini Kamati kuu ikazibadilisha akapewa Lisu
 
..Kamati Kuu ndio kikao chenye mamlaka ya kuteua viti maalum.

..Sasa baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kamati kuu ya Chadema haikuketi na kuteua mwanachama yeyote kuwa mbunge wa viti maalum.

NB:

..Kamati kuu haikubadilisha kura za Lazaro Nyalandu.

..Mgombea Uraisi wa Chadema huchaguliwa na Mkutano Mkuu.

..Kamati Kuu iliwapendekeza Nyalandu na Lissu kwa wajumbe wa mkutano mkuu.
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Back
Top Bottom