The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
- Thread starter
- #21
Asante, correctedBadala ya BARAKA KUU iwe BARAZA KUU, itapendeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, correctedBadala ya BARAKA KUU iwe BARAZA KUU, itapendeza.
Kama hivi ndiyo ilivyo, nini hasa msingi wa kesi hii...?..Halima na wenzake waliapishwa na kuwa wabunge kwa maagizo kutoka juu.Chama chao hakikuwateua, na Nec haikuwathibitisha kuwa wabunge.
Ndugu PLO, kila mtu anahitaji pesa..Hao ni wachumia tumbo waliohonga utu wao na kujiuza wao na akili zao.
Kwa ufupi ni kundi la wajinga waliofugwa bila kujulikana, wamejijulisha wao wenyewe kwa kujiuza mwili na akili zao wakiongozwa na msagaji wao yule.
Kama ni ishu ya "umbwiga", basi mahakama ya Tanzania ni mbwiga sana maana wanasikiliza ujinga wakati taifa lina mambo mengi ya kufanya...!!Acha umbwiga wewe
Taifa lina mambo muhimu ya kufanya siyo hii ujinga wa wabunge wenu hapo Ufipa st!
Kama hivi ndiyo ilivyo, nini hasa msingi wa kesi hii...?
CHADEMA wataiingizaje hoja hii iwe kama sehemu ya utetezi wao..?
Hao uliowataja kuna Katibu mkuu wa Chadema hapo?Kama ni ishu ya "umbwiga", basi mahakama ya Tanzania ni mbwiga sana maana wanasikiliza ujinga wakati taifa lina mambo mengi ya kufanya...!!
Maana yangu ni hii..
Hakuna cha umbwiga wala umbwiguke hapo...!
I thought, kuwa, wewe ungekuwa na akili sana kama ungesema kuwa, wote waliosababisha sokomoko hili yaani marehemu Magufuli na Ndugai na waliowatumia kufanya ujinga huu na wanaouendeleza sasa, washughulikiwe...!
Hao uliowataja kuna Katibu mkuu wa Chadema hapo?
Suala la wao KUFUKUZWA Uanachama limetokana na nini?hiyo ndio KESI ya Msingi huwezi kumfukuza Mtu Uanachama bila sababu kwa hiyo Waliupataje huo Ubunge nalo litaibuka KESI ina utamu wake na Vipi likiibuka la yule ALIYETOLEWA Jela Usiku wa Manane..kesi itajikita kwenye maamuzi ya Cdm kama yamefuata katiba yao, na sio namna kina Halima walivyoingia bungeni.
..labda ktk ku-establish ni kitu gani kiliisukuma Cc ya Chadema kuchukua hatua, itabidi Katibu Mkuu akatoe ushahidi mahakamani kwamba kina Halima walijipeleka / walipelekwa bungeni bila kuthibitishwa na chama.
Dr Mahera alisema orodha ya wabunge 19 wa Chadema ililetwa na KM wa Chadema mh John Mnyika..Chadema na Nec hawakuhusika na suala la kina Halima.
Dr Mahera alisema orodha ya wabunge 19 wa Chadema ililetwa na KM wa Chadema mh John Mnyika
Hii hapa ni sawasawa kabisa, ndivyo ilivyo na ndiyo msingi wa kesi hii.....kesi itajikita kwenye maamuzi ya Cdm kama yamefuata katiba yao, na sio namna kina Halima walivyoingia bungeni..
..labda ktk ku-establish ni kitu gani kiliisukuma Cc ya Chadema kuchukua hatua,
Mawakili wa CHADEMA wataliingizaje hili kiasi cha kumleta GS John Mnyika aende kulisema hili mahakamani..?itabidi Katibu Mkuu akatoe ushahidi mahakamani kwamba kina Halima walijipeleka / walipelekwa bungeni bila kuthibitishwa na chama.
Mnyika amekania wapi?..Kamati Kuu ya Chadema haikuketi kuthibitisha wanachama 19 kuwa wabunge viti maalum.
..John Mnyika amekana kupeleka Nec majina ya kina Halima na wenzake ili wawe wabunge.
..Kwa msingi huo waliapishwa bila Chadema au Nec kuhusika.
CHADEMA waliitisha PC na kulisema hili mbele ya TV Cameras huku wakionesha barua waliyowaandikia NEC kutaka wathibitishe kuwa GS - CHADEMA aliwapelekea orodha ya majina ya wabunge VM waliteuliwa na chama..Mnyika amekania wapi?
Kumbuka Mahera anayo fomu iliyoasainiwa na J J Mnyika!
CHADEMA haijasema imewafukuza ubunge isipokuwa imewafuta uanachamaHwana shida na chadema na wanashida na ubunge. Ndo maaana Kule hawapiganii kutofukuzwa uanachma wanapigania ubunge
Hiyo NB ndicho kilichofanyikaCHADEMA waliitisha PC na kulisema hili mbele ya TV Cameras huku wakionesha barua waliyowaandikia NEC kutaka wathibitishe kuwa GS - CHADEMA aliwapelekea orodha ya majina ya wabunge VM waliteuliwa na chama..
Mpaka leo NEC hawajawahi kuwajibu CHADEMA!!
NB:
Tumbuke kuwa utaratibu wa wabunge wa VM ni chama kuwateua, NEC inawathibitisha na kuwapa barua za uteuzi kisha wanapokewa bungeni na kuapishwa..
..Kwa msingi huo waliapishwa bila Chadema au Nec kuhusika.
Nani kasema NEC haikutoa go ahead?Hapa ndipo palipo na maswali yanayohitaji kujibiwa...
Na siri ya jambo hili imejificha hapa...
Swali kuu ni hili;
Hivi inawezekanaje wabunge wakaapishwe Bungeni na Spika wa Bunge la JMT bila Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoa "go ahead" kwa mijini wa taratibu za kisheria na kikatiba...?
Sophia Simba ...alifukuzwa uanachama na tamko la JPM (mwenyekiti).Mi naona CHADEMA ina uhuru mwingi kwa mwanachama. Ingekuwa chama kingine kauli ya mwenyekiti tu ni sheria tena amri na lazima ifuatwe.
Hongera Mbowe.
Kidumu chama cha mapinduzi