Shauri Na. 36/2022 la Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA, Spika wa Bunge la JMT & NEC. Ni nini madai yao?

..hapana.

..maelezo ya Mnyika yanathibitishwa na ukweli kwamba hakuna kikao kilichowateua kina Halima.
Ndugu hivi kweli majina yawe hayajapelekwa na mtu nec wanatoa wapi ujasili wa kupelwka majina kwa spika usifukirii nao ji wajinga wanapakuanzia kesi inakuja subirini mtaona wanavyoweka Moira kwapani hao chadema
 
Hapo anaenda kuaibika ni mnyika na mbowe ndiyo ma engineer wa huu mchezo nyie wengine hamuujui subirini mtaona
 
Ndugu hivi kweli majina yawe hayajapelekwa na mtu nec wanatoa wapi ujasili wa kupelwka majina kwa spika usifukirii nao ji wajinga wanapakuanzia kesi inakuja subirini mtaona wanavyoweka Moira kwapani hao chadema

..Polisi, Usalama, Mahakama, vyote ni mali yao.

..Kwa hiyo wana uwezo wa kufanya jambo lolote bila kuchukuliwa hatua.

..Kama utakumbuka Cecil Mwambe alikuwa mbunge wa Chadema.

..Baadae akaonekana kwenye vyombo vya habari yeye na Mama yake Mzazi wakijiunga na Ccm.

..Cecil Mwambe aliacha kuhudhuria vikao vya bunge akijua kuwa alipata ubunge kupitia Chadema.

..Spika Ndugai aliamua kumuita bungeni Cecil Mwambe na hakuna hatua za kisheria zilizochukuliwa.

..Kama liliwezekana kwa Cecil Mwambe kwanini lishindikane kwa Halima na wenzake?
 
Hapo anaenda kuaibika ni mnyika na mbowe ndiyo ma engineer wa huu mchezo nyie wengine hamuujui subirini mtaona

..Maamuzi ya vyama hufanywa na VIKAO.

..sote tunakubaliana kuwa KAMATI KUU ya chadema haikuteua majina 19 ya viti maalum.

..Kwa msingi huo sote tunaoitakia mema demokrasia yetu tunapaswa kuwalaani na kuwakataa Halima na washirika wao.

..Sidhani kama Ccm inaweza kukubali mwanachama wake aapishwe kuwa mbunge bila ridhaa ya vikao halali vya chama.

..Kwenye suala hili tunapaswa kuweka ushabiki wa vyama pembeni.

.. Tuzingatie siasa safi na haki sawa kwa vyama vyote.
 
..kama ulifuatilia Cecil Mwambe alivyorudishwa bungeni basi utaelewa kina Halima waliingiaje bungeni.
Mbona anakuwa mgumu kuelewa wakati hata Betina alianza kuwatetea covid 19 hata kabla hawajafungua kesi yao?
 
Umeshakuwa mtu mzima porojo za aina hiyo waachie watu wa kijiweji. Akina Mdee watoe nakala za documents zilizosainiwa na CDM. Lakini la kushangaza litakuwa muda wote wakati wanafikishwa Kamati Kuu na baadae sana Baraza Kuu mbona hawakuzitoa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…