Shayo Abiud wa Clouds FM anasikitisha kwa kweli

Shayo Abiud wa Clouds FM anasikitisha kwa kweli

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili

Kwa mfano kitenge ni Yanga lialia hadi kwenye matamasha hutumika kama MC, Ibrahim Masoud maestro huyu aliwahi hadi kuwa kiongozi wa simba na mkuu wa benchi la ufundi na ndiye aliyewafundisha kina Mkude. Ndemla, ajibu wakiwa wadogo Simba B

Kuna Shaffih Dauda, huyu ni Simba aliwahi hadi kuchezea ile Simba mbovu ya mwaka 99 ya kina Kimune Mwita, ingawa hakucheza hata mechi zisizozidi tatu akatumia vihela vya usajili kumalizia masomo IFM

Kubwa la maadui Jemedari Said ni yanga lialia, hata kwenye uchaguzi wa kina Msolwa alikuwa kwenye kamati ya kampeni ya Msolla

Geoff lea ni shabiki la simba

Sasa turudi kwa bwana Abiud Shayo Privaldinho, unadhani kwa nini wewe unaonekana kama TOY? siyo sauti yako ni kiherehere chako, kwa mfano niliowataja hapo juu ni Maestro tu hajawahi kuingia kwenye mgogoro na hizi teams au mashabiki wao nafikiri ni master wa kuji handle

Dauda, Geoff ni mashabiki wa simba waliongia matatizoni makubwa na mashabiki wa simba, Jemedari na wanayanga kila mtu anajua, kitengee yeye anajulikana ujinga wake

Tofauti yako Shayo umejigeuza filter ya utopolo, yaani issue ya yanga ikipingwa kwa siku unaitolea maelezo hata mara 100 hadi inachekesha , mwana huoni tu ujinga wako lakini grow up elezea kitu mara moja kausha au wakupe kitengo kabisa nimetoa mifano mingi ili ujifunze kubalance shobo

kwa mfano hii tweet ni ya kijinga kabisa, we ulikuwa hujui kwamba zamani simba na yanga zilkuwa hadi na teams za boxing hata kina matumla walianzia huko?

Ushauri ni simple tu kama hayafanyiki tena badilini logo imejaa mauchafu mno wewe ni kupinga tu..ndiyo maana wanasema HATA HAO JAMAA HAPO SALAMANDER WAKIACHIA KIUSHUZI UTASIFIA KWAMBA USHUZI WAO UNANUKIA KAMA CAKE NA UKO VERY CREATIVE

shayo.JPG
 
Kitu pekee anachokiweza huyo mchagga ni kubana sauti
anahisi watu wanamuandama lakini kumbe wanaona ujinga wake, kaikandia simba kwenda Egypt na kuisifia yanga kubaki kigamboni leo yuko na azam Egypt sijui hata anasemaje kwa hilo....yanga ikikandiwa mtandaoni anapagawa kabisa aiseeee sidhani kama leo hata atafanya kazi za azam kuhusu jezi yao ni kuspend muda wote kuelezea majengo ya kwenye jezi hadi ofisi za Gsm tumeambiwa ni landmark ya taifa
 
Dah.. Nilisikia hizi tetesi ila nikapuuza ila kwakuwa wewe msemaji wao usiye rasmi unatoa tamko, nasadiki maneno yako 😂
Sasa huyu Msago nae ana nn cha maana?? Yaan kutekenywa mara 1 na yule mchambuzi fulan wa Media X ndo kaharibika kabisaa, nishampuuza zaman sana....
 
Kumbee ni njaa tuu inamsumbua ndugu yangu.
azam nafikiri leo wanazindua jezi na wamemsafirisha hadi huko Egypt sidhani hata kama ataizungumzia tangu jana kapagawa kuona watu wengi wamezipinga jezi za yanga anatoa maelezo kila baada ya dakika 2
 
Sasa huyu Msago nae ana nn cha maana?? Yaan kutekenywa mara 1 na yule mchambuzi fulan wa Media X ndo kaharibika kabisaa, nishampuuza zaman sana

Afu anajifichia kuvisha [emoji183] mwenza ake wa mchongo, anajistukia vibaya, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sheria imemshinda anahangaikia uchambuzi, si aende law school akachukue muhuri, awe wakili, mxxieeeew zake.
Kumbe Priva ni lawyer
 
anahisi watu wanamuandama lakini kumbe wanaona ujinga wake, kaikandia simba kwenda Egypt na kuisifia yanga kubaki kigamboni leo yuko na azam Egypt sijui hata anasemaje kwa hilo....yanga ikikandiwa mtandaoni anapagawa kabisa aiseeee sidhani kama leo hata atafanya kazi za azam kuhusu jezi yao ni kuspend muda wote kuelezea majengo ya kwenye jezi hadi ofisi za Gsm tumeambiwa ni landmark ya taifa
Anatafuta bwana huyo mbwiga

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom