Shayo Abiud wa Clouds FM anasikitisha kwa kweli

Shayo Abiud wa Clouds FM anasikitisha kwa kweli

Wewe punga tangu umeingia hili jukwaa la sports umekua mtu wa kuleta story za kisenge senge all day una jadiri personalities
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaumia ukiwa wapi?? Kwani huyo mnafiki wenu huwa anachambuaga nn?? Km sio uzwazwa tyuuh.

Kwan uzi nimeanzisha mie? Nimekuta mada nimeandika ninachofahamu kuhusu mlengwa, wala usinipangie cha kuandika.

Kwa kuongezea, kamshauri aache kubana sauti, sauti yake kavu km ya bob tunajua, ila yeye anaifinya iwe km ya Ruby, why???

Byuti byuti.
 
Pivaldinho awez ishi kama unavyotaka na hilo ndo tatizo kubwa la watanzania kufuatilia maisha ya watu tujifunze kuheshimu kile anachoamin mtu ata kama kina kukera
Kwan nan amesema aishi ninavyotaka?? Kwenye ukweli acha tuseme, aache unafiki na uzandiki. Wala hatuna shida nae

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwan nan amesema aishi ninavyotaka?? Kwenye ukweli acha tuseme, aache unafiki na uzandiki. Wala hatuna shida nae

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu asifii Simba ndo anaitwa mnafki na mzindaki tunasafari ndefu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mchokozi eti eeeh?? Afu kwa huyu Priva sio siri, ni vile watu wana mstahi tyuuh. Anabokolewa wala sio jambo geni kwake, uwiiiiiiih.
Are you serious?
 
Kwa sababu asifii Simba ndo anaitwa mnafki na mzindaki tunasafari ndefu sana
Wala hatujataka atusifie na hatuna shida hizo, aache unafiki na uzandiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bwana Shayo yupo kule Misri ila Simba walimpiga marufuku kwenda kwenye kambi yao ikabidi awe reporter wa Azam tu mpaka anatia huruma yaani utoke Tanzania mpaka misri ufuate reports za Azam jamaa ana kiherehere sana toka apigwe beat na Manara akili haijakaa sawa kabisa.
 
Mpira unawatia watu uchizi. Kwa comment nilizoziona humu Mungu anisaidie nisifike huko mlipofikia hasa makolo inaonekana mna mawazo mengi aseeh

Kunyweniaji mengi nyie
Ila jezi mpya ya utopolo imethibitisha nani Ni makolo. Maana SI kwa makorokoro Yale yaliyojaa kwenye jezi.
 
Hakuna mtanzania asiye shabiki wa simba/yanga kama hawapo ni wachache sana, hata hao wachambuzi wa michongo wa nchi hii wote wamegawanyika katika teams hizi mbili

Kwa mfano kitenge ni Yanga lialia hadi kwenye matamasha hutumika kama MC ,Ibrahim masoud maestro huyu aliwahi hadi kuwa kiongozi wa simba na mkuu wa benchi la ufundi na ndiye aliyewafundisha kina mkude..ndemla , ajibu wakiwa wadogo simba b

Kuna Shaffih Dauda, huyu ni simba aliwahi hadi kuchezea ile simba mbovu ya mwaka 99 ya kina kimune mwita, ingawa hakucheza hata mechi zisizozidi tatu akatumia vihela vya usajili kumalizia masomo IFM

Kubwa la maadui Jemedari Said ni yanga lialia,hata kwenye uchaguzi wa kina msolwa alikuwa kwenye kamati ya kampeni ya msolla

Geoff lea ni shabiki la simba

Sasa turudi kwa bwana Abiud shayo Privaldinho, unadhani kwa nini wewe unaonekana kama TOY? siyo sauti yako ni kiherehere chako, kwa mfano niliowataja hapo juu ni Maestro tu hajawahi kuingia kwenye mgogoro na hizi teams au mashabiki wao nafikiri ni master wa kuji handle

Dauda, Geoff ni mashabiki wa simba waliongia matatizoni makubwa na mashabiki wa simba, Jemedari na wanayanga kila mtu anajua, kitengee yeye anajulikana ujinga wake

Tofauti yako Shayo umejigeuza filter ya utopolo,yaani issue ya yanga ikipingwa kwa siku unaitolea maelezo hata mara 100 hadi inachekesha , mwana huoni tu ujinga wako lakini grow up elezea kitu mara moja kausha au wakupe kitengo kabisa nimetoa mifano mingi ili ujifunze kubalance shobo

kwa mfano hii tweet ni ya kijinga kabisa, we ulikuwa hujui kwamba zamani simba na yanga zilkuwa hadi na teams za boxing hata kina matumla walianzia huko?

ushauri ni simple tu kama hayafanyiki tena badilini logo imejaa mauchafu mno wewe ni kupinga tu..ndiyo maana wanasema HATA HAO JAMAA HAPO SALAMANDER WAKIACHIA KIUSHUZI UTASIFIA KWAMBA USHUZI WAO UNANUKIA KAMA CAKE NA UKO VERY CREATIVE



View attachment 2307919
Huyu mtoto nilivyoskia anaenda Misri nimejaribu Hadi kuwatafuta baadhi ya viongozi wa matawi yenye ushawishi na uongozi wa juu wa simba asiruhusiwe hata kukanyaga kwenye kambi yetu.Ana ushabiki wa kipumbavu Sana,naweza sema wakishamba..
 
Huyu mtoto nilivyoskia anaenda Misri nimejaribu Hadi kuwatafuta baadhi ya viongozi wa matawi yenye ushawishi na uongozi wa juu wa simba asiruhusiwe hata kukanyaga kwenye kambi yetu.Ana ushabiki wa kipumbavu Sana,naweza sema wakishamba..
JF kila mtu ana mamlaka [emoji3525][emoji3525]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom